FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,913
- 11,317
Mifupa yanini wewe? Mwendazake huyo achana naeNaomba msaada wa mawazo,
kaburi la baba yangu mdogo lilikaa muda mrefu bila kusafishwa.
Hakuzwikwa makaburini ila kwenye kiwanja cha familia.
Alifariki 1982/3. Eneo lile mji uliposogea ndugu wakapauza.
My father passed away watoto wa marehemu wapo ila hawajasoma hivyo hawajui waanzie wapi.
Mahali lilipo Kaburi imejengwa nyumba na ni chumbani kwa mwenye nyumba.
Nataka nianzishe mtiti maana wamegoma kuniuzia nyumba sasa mifupa ya marehemu naitaka!
Inadumu miaka yote. Swala langu ni bado ipo hapo? Baada ya kuchimba msingi na shughuli zote za ujenzi, bado utaikuta?Kweni mifupa ya binaadamu hupotea kaburini baada ya muda gani? Hebu tuanzie na somo la historia kwanza labda tutapata mwanga.
Inadumu miaka yote. Swala langu ni bado ipo hapo? Baada ya kuchimba msingi na shughuli zote za ujenzi, bado utaikuta?
Sent using Jamii Forums mobile app