Juu ya kaburi la baba mdogo kuna nyumba imejengwa. Je, nifanye nini?

Mifupa yanini wewe? Mwendazake huyo achana nae
 
Aiseee jaribu kuwatisha waambie hapo ni makazi ha popobawa.
 
Kweni mifupa ya binaadamu hupotea kaburini baada ya muda gani? Hebu tuanzie na somo la historia kwanza labda tutapata mwanga.
Inadumu miaka yote. Swala langu ni bado ipo hapo? Baada ya kuchimba msingi na shughuli zote za ujenzi, bado utaikuta?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inadumu miaka yote. Swala langu ni bado ipo hapo? Baada ya kuchimba msingi na shughuli zote za ujenzi, bado utaikuta?

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwani huo msingi ulikuwa wa ghorofa ngapi mpaka wachimbe na kufikia mifupa ya kaburini? Au basi ita kwanza watu wa exploration wakufanyie utafiti kujua kuna mifupa au laa kabla ya kubomoa.
 
Sheria inasema kaburi likifika miaka 25 ,na mtu kanunua kiwanja hapo ruksa kujenga nyumba kesi ya namna hiyo ili mpata ndugu yangu aliuziwa kiwanja chenye kaburi ...akashusha mjengo ...ndugu waliouza wakaenda kushitaki mahakama jamaa aliwashinda kesi ....hilo kaburi la zamani sana!!

sent from HUAWEI
 
Mkuu Kanyegelo sheria ni hii hapa chini ya mwaka 1969 na hakuna limit ya miaka 25 unayojaribu kushawishi unless kuna sheria mpya ambayo sie wengine hatuijui...ila nafikiri ulinyimwa haki yako ya kikatiba kwa kutoelewa haki zako
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…