Juuko Murshid Simba anakaa benchi lakini Timu ya Taifa tegemeo

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Juuko Murshid mmoja kati ya mabeki wapambanaji, wenye roho ya chuma katika ligi ya Bongo kando ya Kelvin Yondan.

Juuko mara kwa mara amekuwa akisugua benchi klabuni Simba, akicheza ujue kuna watu ni majeruhi.

Lakini habari ni tofauti, Timu ya Taifa ya Uganda, The Cranes ni beki tegemeo na daima akiwa mzima ni chaguo la kwanza. Ameshacheza hadi Afcon iliyopita, na sasa yupi kikosini kwa ajili ya Afcon ya 2019 inayofanyika Misri.

Je nini huwa kinasababisha Juuko asipate nafasi klabuni Simba?
 
Nahisi atakuwa na mapungufu pengine kinidhamu au style yake ya kiuchezaji haimfanyi kuwa chagua LA kwanza, akiwa simba

Maana makocha karibu wote hawamwamini na kumpa namba, sasa sizan kama kila kocha ana matatizo na juuko
 
Hii inamaanisha simba ni nzuri kuliko taifa stars na uganda the cranes
 
Sasa kama [emoji1254] hakuna beki kama huyo kwann asicheze?

Binafsi ningekuwa kocha wa Simba sc ningemtumia Mlipili sana kuliko Juuko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…