Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Juuko Murshid mmoja kati ya mabeki wapambanaji, wenye roho ya chuma katika ligi ya Bongo kando ya Kelvin Yondan.
Juuko mara kwa mara amekuwa akisugua benchi klabuni Simba, akicheza ujue kuna watu ni majeruhi.
Lakini habari ni tofauti, Timu ya Taifa ya Uganda, The Cranes ni beki tegemeo na daima akiwa mzima ni chaguo la kwanza. Ameshacheza hadi Afcon iliyopita, na sasa yupi kikosini kwa ajili ya Afcon ya 2019 inayofanyika Misri.
Je nini huwa kinasababisha Juuko asipate nafasi klabuni Simba?