Juventus mlichokifanya leo Mungu anawaona

tatzo la juve ni kuwaachia madrid kucheza mpira, wangetakiwa kukaba sana mixer ubabe kama walivyofanya kipndi cha kwanza, harafu allegri naye akadata na zile sub alizoanza kuzifanya.
 
tatzo la juve ni kuwaachia madrid kucheza mpira, wangetakiwa kukaba sana mixer ubabe kama walivyofanya kipndi cha kwanza, harafu allegri naye akadata na zile sub alizoanza kuzifanya.
Zidane huwa anasoma mchezo kwanza kipind cha kwanza, then second half anakuja na mbinu nyingine na kubadili formation, so juv walipoteana na kuzidiwa! Huyo ni mjanja Zidane! Respect him man!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…