Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaa yaani namba 7 wa madrid khaaaaaHawa wajinga kipindi cha pili wamekuja kama wanaenda kuchota maji
Matatizo ya Kubet hayo......unaenda kuangalia mpira na matokeo unayo mfukoni,Juventus wameuza game siamini
***** juve mmeharibu kila kitu
Umeenda vizuri sana,ila hapo Mwisho.Buffon sasa akalee wajukuu tu,Juve yaani ilikuwa kama simba tu vile ya Haji Manara
Duhhh....Kubet nliacha mkuu kwasasa nmekuwa shabiki mtiiifu wa barcelona nisiyetaka pesa ya haraka
Pole sana aisee! Ulitaka Madrid wafungwe? Unamjua Casemiro?Cjalala hadi saiv najuta bora ningechek katuni niwe nacheka tu
Hiyo ndio Real Madrid ! Sio rahis kufungwa fainal kihivyo!!! Unamjua casemiroJuve hata Mimi Leo wamenikosesha usingizi yaan goli 4 ndan ya dk 90
Zidane huwa anasoma mchezo kwanza kipind cha kwanza, then second half anakuja na mbinu nyingine na kubadili formation, so juv walipoteana na kuzidiwa! Huyo ni mjanja Zidane! Respect him man!tatzo la juve ni kuwaachia madrid kucheza mpira, wangetakiwa kukaba sana mixer ubabe kama walivyofanya kipndi cha kwanza, harafu allegri naye akadata na zile sub alizoanza kuzifanya.
Jaribu ustaarabu japo kidogo.Juve wametomba kazi
Mkuu huo msemo kama hujui maana yake unakaa kimya sio unalaumu tuJaribu ustaarabu japo kidogo.