Mkuu uwezo wao ndo uliishia hapodah yani kipindi cha pili wamecheza ovyo sana
wamekomaje walikuja kutuwangia wakaacha madem zao wakichepuka hahahaha!Betting[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hii kwenye uchumi tunaiita transitivity axiomMtatoa visingizio kibao ila mpira ni tactics na kucapitalize nafasi unazozipata....
Kumbukeni tu kwamba mpira sio algebra kwamba A akimfunga B na B akimfunga C therefore A ndio kishamfunga C.
Kabisa...Muhindi kapiga sana hela [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nmesema m mkuu bora wangetuacha tu wenyewSina mengi hapa nipo kitandani natafuta usingizi...
Lakin kila nikikumbuka huyu nambaa saba wa madrid usingizi unapaaa....hata sijui nifanyaje.
Ila nasema juve nibora mngetuacha barcelona tupite kuliko hizi aibu mlizotuletea leo.
Huko mtaani kesho tutatembeaje sasa maan mmetuvua nguo kipindi cha pili...hiyo dyabala amecheza ujinga mtupu.
Kwakweli juve mungu anawaona.