Kiumbe mtu anayestahili kuitwa "special one" ni Zidane Zizzu tu,ile nyingine ni "fake" 100%!
Sababu: 1.Kavaa medali ya CL kama mchezaji.
2. Kavaa CL medali kama kocha msaidizi.
3.Kubeba CL kama kocha mara 2 mfululizo.
4.Kavunja mwiko wa kuto kubeba ndoo CL misimu mi2 .(ilikuwa haijatokea).
5.kabeba world cup kama mchezaji.
Angekuwa " msema ovyo" wengi tusingelala,kunywa wala kula tuvipendavyo!