Juventus mlichokifanya leo Mungu anawaona

Juventus mlichokifanya leo Mungu anawaona

dlnobby

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2014
Posts
2,514
Reaction score
3,348
Sina mengi hapa nipo kitandani natafuta usingizi...
Lakin kila nikikumbuka huyu nambaa saba wa madrid usingizi unapaaa....hata sijui nifanyaje.
Ila nasema juve nibora mngetuacha barcelona tupite kuliko hizi aibu mlizotuletea leo.

Huko mtaani kesho tutatembeaje sasa maan mmetuvua nguo kipindi cha pili...hiyo dyabala amecheza ujinga mtupu.

Kwakweli juve mungu anawaona.
 
Back
Top Bottom