Juventus Special Thread

Juventus Special Thread

So far Juve mko vizuri ila umaliziaji ni tatizo, pia ngome imekuwa dhaifu kidogo, Benzema inabidi adhibitiwe leo ameleta uhai mkubwa kwa RM.
 
Halftime. 1-0 RM wanaongoza... Hii ngoma mgumu aisee, RM wangetumia vizuri nafasi walizopata na kupoteza wangeshamaliza mchezo.
 
Back
Top Bottom