RM 1-0 Juve (Agg 2-2)
MBELEKO, as I expected..
Juve lazima aage fainali ni Mimi Na mamito wangu hahahahaaa
Penati laini sana hii....ikibaki hii ndo juve out?Refa kawabeba Real bila hata aibu...
Penati gani ya kilaini ile...
Penati laini sana hii....ikibaki hii ndo juve out?
Halftime. 1-0 RM wanaongoza... Hii ngoma mgumu aisee, RM wangetumia vizuri nafasi walizopata na kupoteza wangeshamaliza mchezo.
Penati laini sana hii....ikibaki hii ndo juve out?
So far Juve mko vizuri ila umaliziaji ni tatizo, pia ngome imekuwa dhaifu kidogo, Benzema inabidi adhibitiwe leo ameleta uhai mkubwa kwa RM.
Yup...Juve atatoka kwa sheria ya bao la ugenini...hivi sasa Juve inabidi atafute goli kwa udi na uvumba