Juventus Special Thread

Daaah wakuu hatakuwepo Chiellin Jumamosi si msala huu!

Barzagli nae bado majeruhi?Pengo la Chiellin ataziba huyu mpopo Ogbobona?

Mhhh Messi Massiah bila Chiellin?Mhhh
 
Daaah wakuu hatakuwepo Chiellin Jumamosi si msala huu!

Barzagli nae bado majeruhi?Pengo la Chiellin ataziba huyu mpopo Ogbobona?

Mhhh Messi Massiah bila Chiellin?Mhhh

Messi mbona hana madhara, wasiwasi wako tuu.
 
Daaah wakuu hatakuwepo Chiellin Jumamosi si msala huu!

Barzagli nae bado majeruhi?Pengo la Chiellin ataziba huyu mpopo Ogbobona?

Mhhh Messi Massiah bila Chiellin?Mhhh

Kaka nimekumisije? Kesho ndo siku ya kutumia ile mbinu mbadala ya kuminyaa.....lol
 
forzaJuve imetokea wapi sasa kama una_wish kombe lije spain wewe mtoto unasumbua sana cc PNC 1.

Hiyo ni maalumu kwa my sweet Mourinho......dah!! Daddy watu wote wa Barca tumejaa humu kumkandia Jozee ahh!! Acheni nimpeti peti wangu.....isitoshe no uadui .....
 
Last edited by a moderator:
Kwani sisi ni maadui ? tena game likiisha tunaingia game letu la kupongezana, kufarijiana na kufurahia kombe kwa pamoja kwa atakayeshinda hiyo ni Mourinho vs everlenk..........daddy uwivu umekushika ehh? Toroka uje.......lol

Bebito ntashindwa ku-concentrate na kulenga madaraja sasa na hizi post tamu tamu, lol
 
Last edited by a moderator:
nawaonea hadi huruma, achen kuzidhurumu nafsi zenu kwa kuzilamisha zipingane na ukweli ambao upo dhahiri shahiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…