Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,012
- 23,633
everlenk ni Manure pyua, huko kwingine anakuita mchepukoni
Iam Red......
Hakuna noma, ila mchepuko mara nyingine unaweza kukomaa ukawa halali.
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
everlenk ni Manure pyua, huko kwingine anakuita mchepukoni
Iam Red......
Daaah wakuu hatakuwepo Chiellin Jumamosi si msala huu!
Barzagli nae bado majeruhi?Pengo la Chiellin ataziba huyu mpopo Ogbobona?
Mhhh Messi Massiah bila Chiellin?Mhhh
Daaah wakuu hatakuwepo Chiellin Jumamosi si msala huu!
Barzagli nae bado majeruhi?Pengo la Chiellin ataziba huyu mpopo Ogbobona?
Mhhh Messi Massiah bila Chiellin?Mhhh
Bebito ntashindwa ku-concentrate na kulenga madaraja sasa na hizi post tamu tamu, lol
Hapana dear usijali hii inakufanya unakuwa imara kama simba....
ungekuwa karibu yangu ningekufinya.
Ai daddy......rusha basi picha na huku.......
mbona anatusaliti Aleyn
Mnafki sana, anakula huku na huku, tusimuone kule nyumbani.
na asije camp nou sababu anaonekana mamluki
na asije camp nou sababu anaonekana mamluki
Muacheni baby wangu