R.I.p Barcelona
Nitarudi hapa baada ya Game, naenda kuangalia kibandani.
All the best juve
Rest in peace barca
Sasa naamini pale saint peter basilica kuna maombi yanaendea pale...hakika mungu yupo na sisi.
bora wamekataa bao
Hongereni barca lakini si kivile!
ndiyo yalikuwa maombi yakobora wamekataa bao