Juventus Special Thread

Juventus Special Thread

Tatizo ni goli la mapema liliwachanganya juventus. Ila wamenyimwa penati ya wazi ambayo ingebadili kabisa mwelekeo wa mechi!
 
poleni juve next year jitahidini zaid
 
My Darling Mourinho take it easy babaaa.......pole sana, poleni wana Juve wote mmepigana vya kutosha lakini kulikuwa hamna jinsi lazima mbabe aonekane. Msimu ujao mkijipanga vyema mnaweza kufanya maajabu.

#ForzaJuve
 
Last edited by a moderator:
Dah Juventus tumepigwa mbaya half Ya kwanza hatukucheza na Tevez hakuwa kwenye Game... Ndio Football lazima kukubali matokeo bao la 3 limekata maini mpaka Refa wa Barca kaona amalize tu sababu wapiga picha wamejazana kama wanampiga pic Celebrity wetu everlenk au Wacha1 , chama langu la Italy limeumia nimemuonea huruma sana Pirlo kumuona mtu mzima analia sio kitu kizuri Bora mtoto utasema ah kawaida ila Mwanaume mtu mtu mzima ambaye utegemei kulia utajua kuna jambo na imemuuma vibaya. Hongera kwa barcelona.
 
asante kwa kutupa hongera
 
Kudos to Juventus, ilikuwa ni safar ndefu, atleast malengo yamefikiwa, next season should be interesting..

Leo nadhan tumeona ni jinsi gan chielin alivyo na umuhimu sana kwa Juve, but all in all nadhan ilikuwa ni 75+ surrender..
 
Ndiyo soka!Mnastahili pongezi kwa mlipofikia!
Hongereni sana "Old Ladies"
 
Dah Juventus tumepigwa mbaya half Ya kwanza hatukucheza na Tevez hakuwa kwenye Game... Ndio Football lazima kukubali matokeo bao la 3 limekata maini mpaka Refa wa Barca kaona amalize tu sababu wapiga picha wamejazana kama wanampiga pic Celebrity wetu everlenk au Wacha1 , chama langu la Italy limeumia nimemuonea huruma sana Pirlo kumuona mtu mzima analia sio kitu kizuri Bora mtoto utasema ah kawaida ila Mwanaume mtu mtu mzima ambaye utegemei kulia utajua kuna jambo na imemuuma vibaya. Hongera kwa barcelona.
Pazi poleni sana hata nami kwenye ile mechi kitu kilichonihuzunisha sana ni kumuona Pirlo analia dah!! Nilijiskia vibaya nikawa kama vile namuona bebito wangu Jozee Mourinho mhh yalishapita sitaki kukumbuka!!

Ila mimi siyo celebrity bana sema kachangamfu tu.......asante kwa hongera ila hata nanyi mmejitahidi sana.
 
Last edited by a moderator:
Aha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!!!
 
Back
Top Bottom