PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,106
- 14,353
Juve is back
Juve is bakwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Juve is back
Jana Juve Manuuuuuuuuu...
Nimeipandisha tu hapa juu baada ya kuona mmeipotezea sana timu yenu.
Juve hii naona kama inakosa vitu vingi, tevez, vidal na pirlo walikuwa wanatoa dimension tofauti sana. Pogba anafanya kazi kubwa sana pekee yake ila wanapata matokeo na injuries hazichezi mbali nao msimu huu
Juve inahitaji marekebisho madogo ili iweze kwenda sawa na top 4 ya sasa pale serie A. Kwa nafasi waliyopo sasa wanaweza kupigana na kutetea scudetto yao. Fiorentina, Roma, na Napoli bado hawana vikosi imara kama cha juve. Juve kuna kitu wanakikosa pale kikosini.
Ona kama msimamo unavyoonyesha hapa chini. Wanahitaji nguvu kidogo tu ili kwenda sawa. January c mbali
My dear Mourinho anatoa like tu hataki hata kukoment, umefanya la maana sana my kaka Ziroseventytwo kuufufua Uzi huu, hivi wewe ni timu gani sikuelewi elewi...
My dear Mourinho anatoa like tu hataki hata kukoment, umefanya la maana sana my kaka Ziroseventytwo kuufufua Uzi huu, hivi wewe ni timu gani sikuelewi elewi...
I miss you
Mimi ni manazi ile clab iliyopata kuchezewa na mchezaji bora kabisa kutokea duniani. Hapa namaanisha SS NAPOLI. Ila tunashea jukwaa moja na maburuda wenzangu. Ingawa sijapewa kibali na C.E.O wetu Viper.
Salama lakini mama!
Kumbeeee!!!! Haya nitakufatilia fatilia nijue maendeleo ya timu yako.
Mimi mzima kabisa hofu na mashaka ni kwako uliye mbali na upeo wa Macho yangu yaani hadi nikinywa maji nakuona kwenye glass...lol
Naona umebadili hadi avatar yako. Napoli kwa kweli kwa sasa inapiga sana. Matokeo ya Jana C umeyaona? Kule serie A ndio hivyo hivyo tunatandika tu. Kina Mourinho wao wakitandikwa wanasusa. Wakishinda hawaonekani. Kuna wadau kibao siku hizi siwaoni kabisa.
Juve is back
mdau chama cha wana JUVE kipo TZ