Juventus Special Thread

tatizo serieA ilipoteza sana mvuto ndo maana watu wengi wameipotezea ila juve+inter kidogo zinaturudisha enzi za akina pipo inzaghi+etc.
 
Likewise Mamy, nawaangalia vijana wangu hapa
Mtu wetu anaendeleaje lakini?

Kumbe leo kuna mechi ?? Hata sijui.....duh acha tu darling nimeshalicheza lisegere hapa la Muhimbili usipime,tokea siku ile tushamrudisha kama mara 3 hivi na ya mwisho last week ndo alikuwa admitted ,ila sasahivi week hii Mungu anasaidia naona mkono wake,ila tu hapa maombi yangu tusirudi tena Muhimbili.
 

Pole mpenzi, pole sana Mamy
Hawa wabaguzi wa Roma tushawanyamazisha hapa kibandani kwao, wanatokwa kamasi tu
 
Hawa Viola wanachomokea wapi leo?
Vijana watupe burudani baada ya game ya kuboa sana ya Roma na Napoli, AC Milan nao wanafuga mbwa kwa kutegemea mavi ya walevi, sasa leo mlevi kabadili njia
 
Buffon, Chiellini, Bonucci, Barzagli, Evra, Cudrado, Khedira, Pogba, Marchisio, Dybala na Mandzukic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…