Juventus Special Thread

Siwezi angalia mpira mbovu kama huo, kelele nyiingi halafu match yenyewe bora niangalie Lipuli Vs Stand Utd
Mtajipa presha wenyewe, kina Higuan na Hamsik majino nje, wanajua mwaka wao huu, Mancini kashaanza kutafuta mchawi
Duhhhh!!!! Nakucheki tu no comment.....Ila kumbuka sweet hapo juzi Kati ulikuwa mbovu balaa.....anyway ka mpito tu enzi zetu zitarudi .... loh!!! sijakasirika ukaninyima bure tamu yangu...lol
 
Duhhhh!!!! Nakucheki tu no comment.....Ila kumbuka sweet hapo juzi Kati ulikuwa mbovu balaa.....anyway ka mpito tu enzi zetu zitarudi .... loh!!! sijakasirika ukaninyima bure tamu yangu...lol

Sweetheart pole kama umekwazika, lakini truth be told mnacheza mpira mbovu sana, toka huyo Van Gaal apewe team, mpira wenu bora hata wa Newcastle, na kiwango cha EPL kwa ujumla kimedrop mnoo pamoja na mipesa yenu ya kufuru.

Bahati yenu mtakua mnacheza alhamis badala ya jumatano, mngekutana na Dybala na mtoto mliyemtolea mlango wa uwani, tungepeana shikamoo hapa
 
S.s Napoli vs Sampdoria kwenye dimba la luigi Ferrari. Machampion watarajiwa wakiwa kwenye ubora wao. Game inapigwa saa 17:00 kwa muda wa kibongo. Upande wa pili ni As roma waliojichokea dhidi ya vibibi vizee vya turin. Game ni katika dimba la olimpico mjini roma. Saa 22:30 saa za kibongo. Usikose
 
Hongera naona Napoli yako imeua ntu ...[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Maombi yamegoma. Forza Juventus. Yan huyu dyabala haishi utamu kumwangalia. Inasadikika gang chomba anatumia muda mwingi kumtazama dyabala kuliko hata ss wanajuventino waukweli .
 
Maombi yamegoma. Forza Juventus. Yan huyu dyabala haishi utamu kumwangalia. Inasadikika gang chomba anatumia muda mwingi kumtazama dyabala kuliko hata ss wanajuventino waukweli .

Gang Chomba amekua mwanamazingaombwe, jana alikua na show kitunda primary
 
Gang Chomba amekua mwanamazingaombwe, jana alikua na show kitunda primary

hehheh heh heh Mazingaombwe ni soo...niliwahi kushuhudia swahiba wangu akipewa fulushi la noti ila baada ya dakika 0 mambo yakageuka na kutafuta jalala la kutupa hayo makaratasi
 
Zamu ya Genoa kushika ukuta, Dybala na Morata wanaanza leo pale mbele

Forza Bianconero
 
Ingawa tunaongoza, na ingawa tupo vizuri kwa sasa, lakini sina imani na juve. Hawa jamaa wanatutia pressure ile mbaya. Hapa inabidi kukaza kabla pumzi haijaikata.
 
Kana kawa kama dawa mpambano ni mkali kweli. Juve wamepata ushindi leo na napoli nao wameshinda.

Mpambano wakuamua nani achukue scudetto utafanyika junapili ijayo.
 
kama kuna usajir juve wameufanya mzuri basi wa huyu mtu hauwez kusahauliwa, huyu jamaa ni Jembeee, kweny gme nyingi ambzo zipo tight, ALEX SANDRO ana contributions kubwa sana, kweli ni perfect replacement for EVRA, Forza Juve, long live alex sandro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…