WADAU NAAMINI LEO MPO SI YA KUKOSA GAME YA LEO DERB D'ITALIA, tukisubir ile ambayo ya coppa Italia ambayo tulimaliz kazi mapema kwa ushindi wa 3-0
BAADA YA KUDRAW NA WATOTO WA DONADONI, LEO CHIELLINI NDANI YA NYUMBA YA BACKLINE, LKIN KAMA KAWAIDA SIONI JUVE IKIENDA KAMA ALEX SANDRO HAYUPO KWENYE TEAM SHEET,
NA PIA KHEDIRA HUYU ALLEGRI MUST DROP HIM,
(MAYBE HIS CONTRACT PROTECTS HIM) BUT FOR SURE KHEDIR NI MZIGO kwa Marchisio, the man of juve Marchisio anakuwa na wakati na jukumu zito sana akichez na khedira inabid lile eneo nalo liangaliwe
Kama kawa ALEX SANDRO inabid awepo na insist this is the typ of player w need to have EVRA is good lkin for crosses ts better ALEX SANDRO to b considered na pia uzee wa evra miguu ishaanz kuchoka kuchez kma WINGBACK ni.shughul ndefu labda aendelee kutumia 4-4-2 ambay naona inatulinda tusiwe exposed but it didn't help against BAVARIANS nyie mliona wenyew