Juventus Special Thread

Juventus Special Thread

Hii game Barcelona wanashinda. Nilipenda juventus wapite lakini sioni ni kwa namna gani watasalimika pale nou camp. Hii mechi ina zaidi ya magoli 4. Kilichompata PSG ndio kitampata Juventus leo.
 
LA liga wakiingiza team3 nusu final itakuwa ni aibu kwa ligi zingine
Aibu gani sasa. Kqani unataka kufananiaha la liga na premier league? Au bundasliga? Labda serie A? Acha kufananisha la liga na vitu vya kipumbavu!
 
A huge @ChampionsLeague night is only just beginning...

[HASHTAG]#FINOALLAFINE[/HASHTAG] [HASHTAG]#ItsTime[/HASHTAG] [emoji836]️[emoji835]️ [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG] JuventusFC on Twitter

83535a1cf4eef8db26611131bd0161ea.jpg
f2cc034cbe71abc62c11ce941d7ba99b.jpg
 
Aibu gani sasa. Kqani unataka kufananiaha la liga na premier league? Au bundasliga? Labda serie A? Acha kufananisha la liga na vitu vya kipumbavu!
Mkuu laliga ni ligi bora hata Mimi sipingi ila EPL ni ligi pendwa baran ulaya
 
Kama juve hawataenda now camp kwa ajili ya kuzuia hakika watafuzu ila kama watafanya makosa kama walioyafanya PSG sijui kitakachowakuta
 
The enemy of my old friend is my enemy...
Go Juve Go Lavecchia Signora, Go Bianconeri

Funga laanatulah wanaobebwa hao
Chomba nakusalim mkuu wangu. Kitambo kweli mkuu. Ndugu zako kina Viper, Mourinho, juve2012, wamepotea kabisa.
Kabaki bologna oeke yake na tayari keshaanza kuhusudu ndinga la kwa malkia.

Tupo pomaja kuiombea juve but sijui kama tutatoka salama mkuu wangu. #forzajuve#
 
inaonekana huu uzi ulikuwaga na watu active sana eeh

ila si mbaya hata siye sku moja moja tuna stua stua hapa

wewe amini
juve tuna vuka leo
 
3' Electric atmosphere matched by an electric opening to the game! Juve start on the front foot... [HASHTAG]#FCBJuve[/HASHTAG] [0-0] [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom