Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Sawa shehe yahayaHii game Barcelona wanashinda. Nilipenda juventus wapite lakini sioni ni kwa namna gani watasalimika pale nou camp. Hii mechi ina zaidi ya magoli 4. Kilichompata PSG ndio kitampata Juventus leo.
sawaHii game Barcelona wanashinda. Nilipenda juventus wapite lakini sioni ni kwa namna gani watasalimika pale nou camp. Hii mechi ina zaidi ya magoli 4. Kilichompata PSG ndio kitampata Juventus leo.
usijali Juve ipo kuzuia kitu kama hiyo isitokeeLA liga wakiingiza team3 nusu final itakuwa ni aibu kwa ligi zingine
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sawa shehe yahaya
Aibu gani sasa. Kqani unataka kufananiaha la liga na premier league? Au bundasliga? Labda serie A? Acha kufananisha la liga na vitu vya kipumbavu!LA liga wakiingiza team3 nusu final itakuwa ni aibu kwa ligi zingine
Mkuu laliga ni ligi bora hata Mimi sipingi ila EPL ni ligi pendwa baran ulayaAibu gani sasa. Kqani unataka kufananiaha la liga na premier league? Au bundasliga? Labda serie A? Acha kufananisha la liga na vitu vya kipumbavu!
tuta fuzu usijali mkubwaKama juve hawataenda now camp kwa ajili ya kuzuia hakika watafuzu ila kama watafanya makosa kama walioyafanya PSG sijui kitakachowakuta
aaaahAibu gani sasa. Kqani unataka kufananiaha la liga na premier league? Au bundasliga? Labda serie A? Acha kufananisha la liga na vitu vya kipumbavu!
forza ragazi siete miticiThe enemy of my old friend is my enemy...
Go Juve Go Lavecchia Signora, Go Bianconeri
Funga laanatulah wanaobebwa hao
Chomba nakusalim mkuu wangu. Kitambo kweli mkuu. Ndugu zako kina Viper, Mourinho, juve2012, wamepotea kabisa.The enemy of my old friend is my enemy...
Go Juve Go Lavecchia Signora, Go Bianconeri
Funga laanatulah wanaobebwa hao
inaonekana huu uzi ulikuwaga na watu active sana eeh