Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Apr 19, 2017 #3,341 Mabeki wa Barca mbio hawana halafu wazito
Iceman 3D JF-Expert Member Joined Sep 3, 2016 Posts 20,611 Reaction score 67,094 Apr 19, 2017 #3,342 tumekosa kama mawili hivi apaa
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Apr 19, 2017 #3,343 Messi haonekani kabisa
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Apr 19, 2017 #3,344 Neymar chini ni faulo
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Apr 19, 2017 #3,345 Barca nusura waone mwezi lakini goli kiki
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Apr 19, 2017 #3,346 Suarez kiki imegonga beki
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Apr 19, 2017 #3,347 Barca waja tena
ifa96 JF-Expert Member Joined Jul 25, 2014 Posts 466 Reaction score 255 Apr 19, 2017 #3,348 Ziroseventytwo said: Baada ya dhuruba tusisikie malalamiko. Ooooh wamebebwa oohh sijui offside na vitu kama hivyo. Cc ifa96 Iceman Click to expand... [emoji4] [emoji4] [emoji4] kuna nafas wanazipata juve wanashindwa kuzitumia mkuu nakuwa na presha maana wanaweza kuja zijutia curdado naona anafanya madudu ila wacha tuendelee kuwaombea
Ziroseventytwo said: Baada ya dhuruba tusisikie malalamiko. Ooooh wamebebwa oohh sijui offside na vitu kama hivyo. Cc ifa96 Iceman Click to expand... [emoji4] [emoji4] [emoji4] kuna nafas wanazipata juve wanashindwa kuzitumia mkuu nakuwa na presha maana wanaweza kuja zijutia curdado naona anafanya madudu ila wacha tuendelee kuwaombea
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Apr 19, 2017 #3,349 Messi no ishu
Ziroseventytwo JF-Expert Member Joined Mar 27, 2011 Posts 8,581 Reaction score 15,618 Apr 19, 2017 #3,350 Monaco anamshikisha mtu ukuta huko dk 19 gaol 2-0
Iceman 3D JF-Expert Member Joined Sep 3, 2016 Posts 20,611 Reaction score 67,094 Apr 19, 2017 #3,351 leo alves kaenda wap jaman!!?
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Apr 19, 2017 #3,352 Neymar kasahau goli liliko kiki njeee kabisa
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Apr 19, 2017 #3,353 Sergio Alberto kiki nyingine njee
Iceman 3D JF-Expert Member Joined Sep 3, 2016 Posts 20,611 Reaction score 67,094 Apr 19, 2017 #3,354 Ziroseventytwo said: Monaco anamshikisha mtu ukuta huko dk 19 gaol 2-0 Click to expand... duuh wako form haoo
Ziroseventytwo said: Monaco anamshikisha mtu ukuta huko dk 19 gaol 2-0 Click to expand... duuh wako form haoo
ifa96 JF-Expert Member Joined Jul 25, 2014 Posts 466 Reaction score 255 Apr 19, 2017 #3,355 Monako keshalainisha kaz Dortmund siku iz wamekuwa Wa ovyo ovyo sana
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Apr 19, 2017 #3,356 Monaco 2-0 Borussia Dortmund (5-2)
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Apr 19, 2017 #3,357 Barca wataujua ukuta wa kitaliano ukoje
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Apr 19, 2017 #3,358 Dakika ya 31 Barca 0-0 Juve (0-3)
Iceman 3D JF-Expert Member Joined Sep 3, 2016 Posts 20,611 Reaction score 67,094 Apr 19, 2017 #3,359 Rutashubanyuma said: Barca wataujua ukuta wa kitaliano ukoje Click to expand... heheheh had sasa tuko sahihi kwa kila kitu
Rutashubanyuma said: Barca wataujua ukuta wa kitaliano ukoje Click to expand... heheheh had sasa tuko sahihi kwa kila kitu
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Apr 19, 2017 #3,360 Barca wana mpira lakini uchezaji wake ni Kizungumkuti