Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
Heshima kwako pia, mi nipo kule nimempa timu mchina afanye yake ili next season tuheshimiane aysee...
Ila ulio wataja wote soon wataibuka, hiki kikwazo cha leo ndio kiliwafanya wajifiche kwenye machaka ya Tuscan