Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
Dohhh!! Kibibi bomba kimefanya kweli? Hongereni sana wapi ......[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] ....wapi my dear Mourinho???
inaonekana huu uzi ulikuwaga na watu active sana eeh
ila si mbaya hata siye sku moja moja tuna stua stua hapa
wewe amini
juve tuna vuka leo
Fainal-madrid vs altetico madrid
Hahahahahah tafadhali bana usiniue kwa presha,nitafutie mtu hii kwa udi na uvumba ije hapa.....Hah hah hah Dear wako aliuza simu pesa akaenda kuoa goma la pili na hajarudi hadi leo.
Sipati picha angekuwepo hii leo sijui pangekuwaje humu ndani?
Forza Juve
Forza Seriea
Wewe kwa maneno yako balaa!! Hahahaa ngoja nikasome vichambo vyako mtaa wa pili mbonq kale kanafunzi katakuwa kamekomaa!! Ila katajificha siku kadhaa ndo aibuke tena na kelele zake.Katika uhai wake, Mbilikimo Lionel Nesi hajawahi kumfunga Gigi Buffon...
Hah hah hah NAFWAAAA
Ila Milan akikomaa mechi zake zote zilizobakia akashinda basi bila shaka msimu ujao watakuwepo champions league. Maana wana tofauti ya point 3 tu na lazio wanaoshika nafasi ya nne, wakati huo lazio ana mechi ngumu dhidi ya Roma, fiorentina na inter. Wakati ac milan tuna mechi ngumu dhidi ya Roma na atalanta. Hivyo inabidi wapambane washinde mechi zote zilizobakia. Hongera kwa Juve kwa kuwakilisha vyema katika UCLHeshima kwako pia, mi nipo kule nimempa timu mchina afanye yake ili next season tuheshimiane aysee...
Ila ulio wataja wote soon wataibuka, hiki kikwazo cha leo ndio kiliwafanya wajifiche kwenye machaka ya Tuscan
Astakafilulah shekhe. siwezi hata siku moja kupanda basi la Malkia kaka. Bora niende hata kwa miguu dar mwanza.
ALIVYOINGIA BARZAGLI TU BASI NDIO MNYORORO UKAFUNGWA NA NIKAONGEZA MOTO KWENYE SHISHA HUKU NIKIVIANGALIA KWA DHARAU VISICHANA TOKA CATALAN...
FORZA OLD FRIEND
FORZA JUVE
Yule kocha wenu kaanza tambo kama zako,eti anasema baada ya Barzagli kuingia uwanjani Juve ingeweza kucheza na Barca siku nzima bila kuruhusu goli!Anajivunia wazee wake.Hata kipa wa Juve angekaa John Abruzzi basi wasingefungwa...
Nasikia Chiellini ndio man of the match!BBC yao Barzagli Bonucci Chiellini [emoji1][emoji1]
NipoWazeee wa juve mpoooooooo
ALIVYOINGIA BARZAGLI TU BASI NDIO MNYORORO UKAFUNGWA NA NIKAONGEZA MOTO KWENYE SHISHA HUKU NIKIVIANGALIA KWA DHARAU VISICHANA TOKA CATALAN...
FORZA OLD FRIEND
FORZA JUVE