Juventus Special Thread

Hata siyo deep defending aisee wamepwaya kweli this time hata ukuta wenyewe uko wazi sana wanafanya mistake za kizembe tu,mpira dakika 90 wasahihishe tu makosa yao watafanya mambo.
Unanikumbusha kauli ya Professa jana bungeni
 
Wangecheza hivi mechi za awali wangetolewa
Kipindi cha kwanza ndicho walicheza vizuri,yaani hii second half kama wamerogwa aiseee!! Sioni njaa ya goli hata pale kwenyewe kwenye goli lao sijui wanafanya nini daah!! Labda hawa walioingia tuone kama watafanya kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…