Juventus Special Thread

Juventus Special Thread

Gigi Buffon na yeye ana maswali ya kujibu, magoli gani yale ya kufungwa? Ameruhusu mabao rahisi sana japo wapo wanaomtetea kuwa alipotezwa na mabeki wake.
 
Kupoteza fainali tano mfululizo hii nayo ni record ya kipekee sana itayochukua muda kuvunjwa.
 
Hahahahahaahahahhaah veeepe ule ukuta Leo umelowa...tumeutesha mbaya we madridista
#halamadrid#vamosmadrids
 
Gigi Buffon na yeye ana maswali ya kujibu, magoli gani yale ya kufungwa? Ameruhusu mabao rahisi sana japo wapo wanaomtetea kuwa alipotezwa na mabeki wake.
Wa kwanza mimi namtetea khaaa!!! Muache kibabu cha watu!! Kimejitahidi beki zenyewe hovyooo!! Hayo mambo ya kuokoa timu mtu mmoja anayawezaga De Gea tu !!!!!!!
 
The worst final ever!!!

Hata siamini kama hii ndio juve iliyocheza dakika zaidi ya 600 bila kuruhusu goli leo inaruhusu goli 4 zote.

I'm very disappointed
Mimi mwenyewe nimeshindwa kuamini mpila gani wamecheza Leo..

Haijanivutia kabisa final ya leo.

Hongera kwa R.Madrid.
 
Ni kukabidhiwa kombe na Ronaldo amefikia record ya Messi ya kushinda UEFA CHAMPIONS ligi mara nne
 
Gigi Buffon na yeye ana maswali ya kujibu, magoli gani yale ya kufungwa? Ameruhusu mabao rahisi sana japo wapo wanaomtetea kuwa alipotezwa na mabeki wake.
Today juve players looked too amateurish in second half, ile temperament waliyoanza nayo kipindi cha kwanza ilipotezwa ghafla na casemiro!! Na hapo ndipo walipo mruhusu isco kufanya atakavyo.
 
Back
Top Bottom