Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Mpira umekwisha
Juventus 1-4 Real Madrid
Juventus 1-4 Real Madrid
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Forca whatt 4 gFORZA JUVENTUS .
Dada mmetupiwa Leo tena kabebwa auSafi sana JUVEEE,,,,,tunamsubiri Madridada 2malize biashara
Lizarazu nakuheshimu sana pole naona karata zako zimechezwa vibayaKupoteza fainali tano mfululizo hii nayo ni record ya kipekee sana itayochukua muda kuvunjwa.
Wa kwanza mimi namtetea khaaa!!! Muache kibabu cha watu!! Kimejitahidi beki zenyewe hovyooo!! Hayo mambo ya kuokoa timu mtu mmoja anayawezaga De Gea tu !!!!!!!Gigi Buffon na yeye ana maswali ya kujibu, magoli gani yale ya kufungwa? Ameruhusu mabao rahisi sana japo wapo wanaomtetea kuwa alipotezwa na mabeki wake.
Tena Sanaa biscuitHahahahahaahahahhaah veeepe ule ukuta Leo umelowa...tumeutesha mbaya we madridista
#halamadrid#vamosmadrids
Mimi mwenyewe nimeshindwa kuamini mpila gani wamecheza Leo..The worst final ever!!!
Hata siamini kama hii ndio juve iliyocheza dakika zaidi ya 600 bila kuruhusu goli leo inaruhusu goli 4 zote.
I'm very disappointed
Today juve players looked too amateurish in second half, ile temperament waliyoanza nayo kipindi cha kwanza ilipotezwa ghafla na casemiro!! Na hapo ndipo walipo mruhusu isco kufanya atakavyo.Gigi Buffon na yeye ana maswali ya kujibu, magoli gani yale ya kufungwa? Ameruhusu mabao rahisi sana japo wapo wanaomtetea kuwa alipotezwa na mabeki wake.
Naona juve wanamzimu wa kukosa Fainal aiseeGigi Buffon na yeye ana maswali ya kujibu, magoli gani yale ya kufungwa? Ameruhusu mabao rahisi sana japo wapo wanaomtetea kuwa alipotezwa na mabeki wake.
Hakika wameweka rekodi.Kupoteza fainali tano mfululizo hii nayo ni record ya kipekee sana itayochukua muda kuvunjwa.