Juventus Special Thread

Juventus Special Thread

Kwanin UEFA hawaweki VAR (video assistance refaree)? FIFA wameweka
 
Sawa gian infatinho naona umeshamfuta refa kazi. Futa basi na hiyo penati turudi mabandani kucheck game au sio rais wa shilikisho la MAPOVU
Penalt ifutwe kwa sababu gani.? Nipe sababu za kuifuta na mimi nitakupa sababu kwa ile penalt ni halali.
 
Tusiendekeze chuki za kijinga. Juve katolewa kihalali kaeni muangalie tena ile penalt, msisieme eti kwa sababu tu muda ulikua umeisha. Kosa limetendeka unaadhibiwa hapohapo
IMG_20180412_082454_820.JPG

Penalti halali
 
Nafikiri itakavyofanya kazi ndiyo kutaamua kama vyama vya mpira vitaanza kutumia VAR.
Baadhi ya vyama vya mpira vimeanza kutumia VAR tokea mwanzoni mwa msimu wa ligi kuanza mfano Ligi ya ujerumani na ligi ya italia
 
Dhambi hulipwa duniani barc amelipwa ile ya psg ssa ngoja nae atalipwa hata kwa miaka ijayo
 
ni wakati wa kutumia VAR kote duniani,mbeleko hizi ziishe.too much!
 
Back
Top Bottom