Juventus Special Thread

Sifa za kijinga,..ushind wa mezan,huyo refa na kibarua hana,hata shetan mwenyew atakua kamind....mpira gan sasa huu,kama bongo,sasa kuna tofaut gan na vigisu za bongo
Andika barua peleka FIFA. I've nothing to say
 
Kwanin UEFA hawaweki VAR (video assistance refaree)? FIFA wameweka
 
Sawa gian infatinho naona umeshamfuta refa kazi. Futa basi na hiyo penati turudi mabandani kucheck game au sio rais wa shilikisho la MAPOVU
Penalt ifutwe kwa sababu gani.? Nipe sababu za kuifuta na mimi nitakupa sababu kwa ile penalt ni halali.
 
Nafikiri itakavyofanya kazi ndiyo kutaamua kama vyama vya mpira vitaanza kutumia VAR.
Baadhi ya vyama vya mpira vimeanza kutumia VAR tokea mwanzoni mwa msimu wa ligi kuanza mfano Ligi ya ujerumani na ligi ya italia
 
Dhambi hulipwa duniani barc amelipwa ile ya psg ssa ngoja nae atalipwa hata kwa miaka ijayo
 
ni wakati wa kutumia VAR kote duniani,mbeleko hizi ziishe.too much!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…