Mkuu nini kinakuuma? Si uanzishe Ligi yako uone kama ni Rahisi au Njia wanazotumia Wadau wa Mpira unadhania ni Mbaya? Mpira ni Biashara pia MwayegoJuve ndio wameua mpira wa italia haiwezekani kila top player serie A anunuliwe juventus mmeua competition kabisa ligi haina mvuto ni sawa na ligue 1 na Bundesliga.... Huu upumbavu hauwezi kuukuta la liga yaani barca auze mtu madrid ama atletico auze madrid hakuna kitu kama hicho ndio mana bado kuna competition kwenye top 3 ila serie A ligi imekufa ssa higuain alikuwa tishio mkamchukua mkaiua nguvu napoli.... Benadetto cjui pjanic walikua wachezaji muhimu wa timu zao leo wote wako juve mpira hauna maana tena sio kama enzi zile ya AC milan ya kina seedorf ama juve ya kina Camoranesi na Inter ya kina zanetti walikuwa hawana huu upumbavu wa kuibiana wachezaji na ndio maana wakawa competitive mpaka mwisho ila leo hii kila mchezaji serie A anataka juventus kma shortcut ya kubeba champions league
R.I.P Serie A
Nachojaribu kusema ni kwamba kutengeneza timu chache zenye nguvu zinaathiri kukua kwa mpira na ndio maana mapato ya Serie A yameshuka sana zaidi ya 50% kulinganisha na miaka 10 iliopita..... Kinachoniuma ni kwamba mpira umekosa ladha kabisa yaani timu moja hyo hyo inabeba serie A miaka 7 mfululizo na imechangia hata timu ya taifa kuwa dhaifu maana kila star anataka kwenda juventus anaishia benchi hadi timu ya taifa inavurugika sababu hakuna ushindaniMkuu nini kinakuuma? Si uanzishe Ligi yako uone kama ni Rahisi au Njia wanazotumia Wadau wa Mpira unadhania ni Mbaya? Mpira ni Biashara pia Mwayego
Hayo ni Maoni yako tu kama ya mhariri... Juve Ilifanyiwa Ntimanyongo mbaya sana Kushushwa Daraja na Kunyang'anywa Makombe ya Miaka Miwili akapewa Inter Milan Wachezaji wakakimbia akiwepo Zlatan Ibrahimovic Tukasota Serial B hadi tukabeba ubingwa na Kupanda ikatook Miaka Minne kuchukua Serial A champion baada ya kujidhatiti haswa na mikakati Ndio maana unaionea Wivu... Issue za Mchezaji gani anataipenda Juve hayo ni Mapenzi yao kwa Timu Hata Babu Fergie alikuwa anasajili wachezaji wanaoipenda timu na sio Pesa ndio maana Man U ilikuwa na mafanikio sana... Wewe umejaa zaidi Chuki Ronaldo alikuwa na kipi haswa cha kuipenda Juve? Alipotaka kuondoka Real Offer aliyopata ni kutoka kwa Juve pekee Lazio Walipewa Offer na Real wakasua sua Juve akatumia Chance akawini. Chielin alikuwa Juve akasema anataka AC Milan ila kwa sasa anataka kurejea Mwenyewe ni Mapenzi tu labda yawezekana amejua alibugi kuondoka Mwenyewe.. Subiri na Diego Godin anakuja Turin.Nachojaribu kusema ni kwamba kutengeneza timu chache zenye nguvu zinaathiri kukua kwa mpira na ndio maana mapato ya Serie A yameshuka sana zaidi ya 50% kulinganisha na miaka 10 iliopita..... Kinachoniuma ni kwamba mpira umekosa ladha kabisa yaani timu moja hyo hyo inabeba serie A miaka 7 mfululizo na imechangia hata timu ya taifa kuwa dhaifu maana kila star anataka kwenda juventus anaishia benchi hadi timu ya taifa inavurugika sababu hakuna ushindani
Wanakera sana na wasipobadilika serie A itaendelea kuwa ligi maskini na dhaifu kati ya zile top 5 leagues za ulaya
Cc BlackPanther Ziroseventytwo
Najua sasa hivi fans wa juventus mtakua mmeongezeka sana kisa mnyama Ronaldo
Wakuu habari zenu nimekuja kuwatembelea kidogo
Gang Chomba
Ahahaaaah.Macho yangu kwa magician dybala,huyu dogo ni hatari mno...mmaliziaji anasubiri kutengewa kama kawaida yake.