Juventus Special Thread

Juventus Special Thread

Mimi ni mshabiki wenu mpya wa juventus, ila ronald akihama juvenus, ndio na mimi mwisho kuwa shabiki wenu
 
Juve ndio wameua mpira wa italia haiwezekani kila top player serie A anunuliwe juventus mmeua competition kabisa ligi haina mvuto ni sawa na ligue 1 na Bundesliga.... Huu upumbavu hauwezi kuukuta la liga yaani barca auze mtu madrid ama atletico auze madrid hakuna kitu kama hicho ndio mana bado kuna competition kwenye top 3 ila serie A ligi imekufa ssa higuain alikuwa tishio mkamchukua mkaiua nguvu napoli.... Benadetto cjui pjanic walikua wachezaji muhimu wa timu zao leo wote wako juve mpira hauna maana tena sio kama enzi zile ya AC milan ya kina seedorf ama juve ya kina Camoranesi na Inter ya kina zanetti walikuwa hawana huu upumbavu wa kuibiana wachezaji na ndio maana wakawa competitive mpaka mwisho ila leo hii kila mchezaji serie A anataka juventus kma shortcut ya kubeba champions league

R.I.P Serie A
Mkuu nini kinakuuma? Si uanzishe Ligi yako uone kama ni Rahisi au Njia wanazotumia Wadau wa Mpira unadhania ni Mbaya? Mpira ni Biashara pia Mwayego
 
Mkuu nini kinakuuma? Si uanzishe Ligi yako uone kama ni Rahisi au Njia wanazotumia Wadau wa Mpira unadhania ni Mbaya? Mpira ni Biashara pia Mwayego
Nachojaribu kusema ni kwamba kutengeneza timu chache zenye nguvu zinaathiri kukua kwa mpira na ndio maana mapato ya Serie A yameshuka sana zaidi ya 50% kulinganisha na miaka 10 iliopita..... Kinachoniuma ni kwamba mpira umekosa ladha kabisa yaani timu moja hyo hyo inabeba serie A miaka 7 mfululizo na imechangia hata timu ya taifa kuwa dhaifu maana kila star anataka kwenda juventus anaishia benchi hadi timu ya taifa inavurugika sababu hakuna ushindani

Wanakera sana na wasipobadilika serie A itaendelea kuwa ligi maskini na dhaifu kati ya zile top 5 leagues za ulaya

Cc BlackPanther Ziroseventytwo
 
Nachojaribu kusema ni kwamba kutengeneza timu chache zenye nguvu zinaathiri kukua kwa mpira na ndio maana mapato ya Serie A yameshuka sana zaidi ya 50% kulinganisha na miaka 10 iliopita..... Kinachoniuma ni kwamba mpira umekosa ladha kabisa yaani timu moja hyo hyo inabeba serie A miaka 7 mfululizo na imechangia hata timu ya taifa kuwa dhaifu maana kila star anataka kwenda juventus anaishia benchi hadi timu ya taifa inavurugika sababu hakuna ushindani

Wanakera sana na wasipobadilika serie A itaendelea kuwa ligi maskini na dhaifu kati ya zile top 5 leagues za ulaya

Cc BlackPanther Ziroseventytwo
Hayo ni Maoni yako tu kama ya mhariri... Juve Ilifanyiwa Ntimanyongo mbaya sana Kushushwa Daraja na Kunyang'anywa Makombe ya Miaka Miwili akapewa Inter Milan Wachezaji wakakimbia akiwepo Zlatan Ibrahimovic Tukasota Serial B hadi tukabeba ubingwa na Kupanda ikatook Miaka Minne kuchukua Serial A champion baada ya kujidhatiti haswa na mikakati Ndio maana unaionea Wivu... Issue za Mchezaji gani anataipenda Juve hayo ni Mapenzi yao kwa Timu Hata Babu Fergie alikuwa anasajili wachezaji wanaoipenda timu na sio Pesa ndio maana Man U ilikuwa na mafanikio sana... Wewe umejaa zaidi Chuki Ronaldo alikuwa na kipi haswa cha kuipenda Juve? Alipotaka kuondoka Real Offer aliyopata ni kutoka kwa Juve pekee Lazio Walipewa Offer na Real wakasua sua Juve akatumia Chance akawini. Chielin alikuwa Juve akasema anataka AC Milan ila kwa sasa anataka kurejea Mwenyewe ni Mapenzi tu labda yawezekana amejua alibugi kuondoka Mwenyewe.. Subiri na Diego Godin anakuja Turin.

Timu ya Taifa ni uwezo wa Wachejazi wenyewe na sio Timu
 
Oi wadau wangu wa Juventus ..yule jamaa aliyetoka Madrid ana anza kucheza lini?

Naskia wamempima wamesema damu yake ni sawa na mchezaji wa umri wa miaka 22.

Sio janja ya Juve kweli ..ili kuwatoa wasiwasi sisi mashabiki?
 
Najua sasa hivi fans wa juventus mtakua mmeongezeka sana kisa mnyama Ronaldo
Wakuu habari zenu nimekuja kuwatembelea kidogo
 
Khedira
1534611742990.gif
1534611758335.gif
 
Cristiano Ronaldo took to social media on Saturday to express his delight at making a winning start to his Juventus career.

Happy Cristiano with win
Ronaldo did not get on the scoresheet as Juve triumphed 3-2 at Chievo in their Serie A opener, Federico Bernardeschi scoring the winner in stoppage time after the defending champions had earlier fallen 2-1 behind.

Mario Mandzukic thought he had won the game for Juventus before Bernardeschi settled matters, only for VAR to disallow the goal, with Ronaldo having possibly handled and collided with goalkeeper Stefano Sorrentino in the build-up.

And despite not grabbing a goal for himself on his bow for the Turin club, former Real Madrid star Ronaldo - who arrived in a €112million deal last month - tweeted: "Happy with my first victory in a Juve shirt!

Ronaldo will have his next chance to open his Juve account when they host Lazio next weekend.
 
Huyu bwana Cr7,

Jana nilikuwa ukumbuni kuna jamaa alikuwa anapaza sauti yake kwa uzito

"Kila uendako Ronald sisi tupo,Tumehamia Juve rasmi Ronald tupe vitu roho inapenda"

Kwakweli kama mtazamaji wa mechi ya jana bwana Cr7 bado anafasi sana katika soka la kileo,atafanya Makubwa.


main-qimg-013a3a33042e22b11006878b67c23590.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom