Juventus Special Thread

Mimi nahisi Ronaldo ndie atafutiwe namba nyengine, Mana dogo yupo juu kiuwezo kuliko Ronaldo. CR7 Kazi yake kuvizia anasubiri Penalty pamoja na lose ball za kutemwa na kipa.
Duuuh!!!!!kwani ukimpenda messi lazima umchukie ronaldo???
 
Hivi kuna kocha gani duniani asio angalia mfumo upi mzuri utakae mpatia ushindi,na hakuna mfumo unaopangwa bila kuangalia una kikosi gani,sasa wewe unaona ni kosa kwa kocha kupanga mfumo utake muwezesha CR7 kufunga maana siku ya mwisho tunataka magoli,CR7 ni mchezaji mzuri na anajituma sana so msiwe na majungu na kunyosha vidole, kwanza CR7 ndiye mchezaji anaependa changamoto, challenge na ameshacheza vilabu mbalimbali kuliko huyo mess,angekua anaangalia mifumo ili awe bora basi angebaki time alizotoka zilizompa uchezaji bora
 
nje ya mdarid jamaa watam treat kama walivyo wachezaji wengine no special treatment anymore
Yani kile ki_linesman cha nyuma ya goli hivi uliona wakati anaulizwa incidence iliyotokea na referee kilvyo kua kinaongeaaa yani unsjua tu pale kalitia chumvi ya unoko na hatimae kadi nyekundu ikatoka...nilikua so disappointed and tears
 
Mpira ni waajabu sana mmeenda sare na Genoa na mkamfunga man united
Hivi man united na Genoa ipi ngumu wakuu
 
Paulo Dyabala...[emoji91][emoji91]
Ronaldo...[emoji848][emoji848]
 
Juventus mmeiharibu ligi ya Italia haina mvuto tena imekuwa kama ligue 1 tu mshindi amejulikana mapema tayari..... Ssa best players wa Serie A wote mmesajili nyie aah ligi haina maana tena

RIP Serie A... RIP azzuri maana ligi mbovu hupelekea National Team mbovu
 
Vipi mkuu! Kuna matumaini ya Juventus kung'ara kwenye UEFA msimu huu?
 
Mkuu ulitaka Juve tutumie pesa mingi sana kwa kununua wachezaji Wabovu? Timu yetu inauwezo tu na sio imeharibu ligi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…