zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Ni kweli mnatakiwa msajili wachezaji bora ila afya zaidi ni kusajili nje ya nchi ili muongeze ushindani kwa timu za ndani ila hii tabia ya kuchukua best players wa timu zingine za serie A mnaua mpiraMkuu ulitaka Juve tutumie pesa mingi sana kwa kununua wachezaji Wabovu? Timu yetu inauwezo tu na sio imeharibu ligi
Benedetto...pjanic... Sciglio....cancelo...higuain...dybala... Ongeza!! mwisho wa siku mmetengeneza monopoly ya timu moja yenye nguvu sasa ndio nni hiki mnaongoza ligi kwa point za double figures hata msimu haujafika katikati!! Na ndio maana champions league hamtoshinda kamwe maana hamjazoea competition hivyo mkikutana na vitimu vya spain huko lazima viwanyooshe...
Na hapa ndio EPL inapowazidi uhondo sio rahisi kukuta monopoly hata man city inajaribu ila haitoweza maana financially kuna timu zaidi ya 6 zinauwezo wa kupambana nao kusajili sasa nyie ligi maskini alafu mnaua competition mnategemea mpira utakua.
R.I.P Serie A