Juventus Special Thread

Naona maneno yako leo utayanywa
Teh teh teh mtoto halali na hela

Sent using Jamii Forums mobile app
Jana kawaficha wanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumeona mkuu kapaki basi mwanzo mwisho na alichokitaka amekipata pia

Sent using Jamii Forums mobile app
Haaahaaa naona mmefukua makaburi...... Anyway Juve were the better side jana approach ya simeone kupaki basi ilitucost sana

Hongereni
 
Safi Sana mkuu! Big up
 
Si approach ya Simeone tu before game hata ulitaka Simeone afanye hivyo bila kujua/kuwaza Ronaldo anachezea timu gani ulaya

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Mbona first leg Ronaldo alifichwa?? Shida ni kwamba atletico ilikuja kupaki basi bila mipango ya kutafuta goli hivyo it was obvious attacking initiative ilikuwa upande wa juve...... Na aliefaidika ni ronaldo ila angekuja na mawazo ya kushambulia hata allegri asingekuwa attack minded maama angekuwa anawaza kubana asifungwe mechi ingebalance na Ronaldo angefichwa mind u magoli yote ni cross na set piece hakuna individual goal la Ronaldo.

Tactical mistake tu sio Ronaldo wala nni
 
Allegri kanifunga hili domo langu.
Damn,that was a tactical masterclass!
Jinsi alivyowatumia Ronaldo na Bernardeschi kutanua defence ya Atleti,Cancelo na Spinazolla kuoverload pembeni,jinsi Mandzukic alivyoshughulisha central backs wa Atleti huku Ronaldo na Bernadeschi sometimes wakicheza free roles kuingia golini kwa Atleti pale akina Spinazzola walipopanda,jinsi Emre Can alivyoziba nyuma mapengo ya full backs waliopanda mbele,jinsi walivyotambua ilivyo ngumu kupenyeza mipira ya chini kwenye defence ya Atleti na kuamua kutanua na kuoverload width ya Atleti na kumimina mvua ya crosses kwenye vichwa vya Ronaldo na Mandzukic,sub ya Dybala(chenga na kumiliki mpira) na Kean (pace) ilivyozidi kuwachosha Atleti defence,jinsi timu nzima ya Juve walivyokuwa wakikimbilia mipira na kuwakaba Atleti wasipate hata muda wa kujipanga,jinsi walivyofungua vyumba wakiwa na mpira(running into spaces)...what more can i say?!...Allegri and co,thank you and i shut my big mouth today.
 
Sasa ni kila mchezaji ana uwezo wa kufunga nafasi alizofunga Ronaldo? Nafasi aliyopata Morata au yule dogo Kein zote hazikuwa za wazi ila alizofunga Ronaldo za wazi? Jifunze kutoa credit panapostahili sio kunywa maji ya bendera hata kama ukweli unauona, Simeone mwenyewe amekiri Ronaldo ndie alieamua mechi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu yule mtoto Bernardesch amenipigia kazi ya Maana sana Cancelo,Pjanic, Emre Can wote walikuwa moto wa kuote mbali jana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
On paper juve mnashinda.. Mjiangalie sana uwanjani
 
Hawa watoto ajax inabidi kuwapiga pini katikati wasichezee mpira. Maana hiyo ndio silaha yao. Wafanyiwe kama jana city na Tottenham. Kaba viungo hadi wakose mbinu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…