zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Nilionya sana mkanishambulia leo hii yakwapi..... Ligi mbovu hupelekea timu mbovu. Mmekosa internal competition ndio maana timu haijazoea mechi za pressure namna hii.Wewe Tatizo lako ni wivu tu na utakuwa Shabiki la AC Milan tu maana mmemind kuwapa kwa Mkopo Higuain... Poleni mlimtaka wenyewe na akirejea Turin anakuwa na ubora wake Chelsea wanamsubiri hamjui kumtumia... so hasira zenu ndio Mnaishambulia Juve... Pale hata uweke fitina kwa kibibi kizee utaishia kupata maumivu tu... Njama tulishazizoea sana lakini uwezo wetu ni mkubwa na tunajua kucheza karata zote...
Wewe utakuwa ni mtu wa maumivu sana kumbe na Atletico Madrid pia unaishabikia muhahahaha... ile timu ina kimavi pole sana...
Kama Kununua wachezaji wa nje ni kosa basi EPL ilingekuwa ilishakufa kitambo sana... na kiufupi ligi ya Italia msimu huu ndio inatizamwa sana... I hope Mwakani Icard atatua Mjini Tulin ili uumie zaidi
Muache tabia ya kununua wachezaji bora wa Serie A matokeo yake mnashinda scudetto kila mwaka ila UEFA mtabaki kuliona kwenye TV tuu.