Tumeona mkuukesho mmejiandaa kuona [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]soka safi
Sent using Jamii Forums mobile app
Poleni wafuasi wa Ronaldo. Ajax hongera.Hii inaweza kuwa Juventus mbovu kabisa chini ya Allegri
Bonge la soka safikesho mmejiandaa kuona [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]soka safi
Sent using Jamii Forums mobile app
Vp iyo amsha imeishia wapi?amna kitu wale madogo hawana accuracy ila wana mpira mwingi hiyo tunawasubiria turin waje kuona amsha popo ya dunia #forza juve
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahha huu mkwara uchwara..... Enhee Juve ndio walikua accurate jana??amna kitu wale madogo hawana accuracy ila wana mpira mwingi hiyo tunawasubiria turin waje kuona amsha popo ya dunia #forza juve
Sent using Jamii Forums mobile app