Juventus Special Thread

Nilionya sana mkanishambulia leo hii yakwapi..... Ligi mbovu hupelekea timu mbovu. Mmekosa internal competition ndio maana timu haijazoea mechi za pressure namna hii.

Muache tabia ya kununua wachezaji bora wa Serie A matokeo yake mnashinda scudetto kila mwaka ila UEFA mtabaki kuliona kwenye TV tuu.
 
Hahahahahha huu mkwara uchwara..... Enhee Juve ndio walikua accurate jana??

Shida mna midfield mbovu mkasajili sio kukalia kujaza washambuliaji..... Hivi kweli kwa midfield ya Can na betancur ndio mbebe UEFA

U can't be serious
Na washukuru tu Approach ya Diego Simeone Second leg ilikuwa poor walikuwa wanatoka kitambo hawa
 
Hahahahahha huu mkwara uchwara..... Enhee Juve ndio walikua accurate jana??

Shida mna midfield mbovu mkasajili sio kukalia kujaza washambuliaji..... Hivi kweli kwa midfield ya Can na betancur ndio mbebe UEFA

U can't be serious
Walizidiwa mchezo
 
Ajax walikuwa na luck game tu but sio kwamba ni wazuri kuliko Juventus.. Kocha wa Ajax tu kasema Juve na Real Madrid waliiogopa timu yao tu.
 
Timu nusu ya wachezaji ni Age ya 30+ Chezeni huko huko ligi ya mchangani ya Akina Torino ,Chievo ,Parma ndio level yenu
Hivi inakuwaje mtu anaisema vibaya timu iliyofika mbali katika ligi ya Mabingwa?
 
Hahahahahahahahah mchezaji kama Emre Can Liverpool walitimua nyie mkaenda kubeba mkiamini atawapa UEFA Hahahahahahahahah
Jana wakati tunatizama Mechi wapenzi wa Liver walikuwa wanamsifia Erme sielewi wewe ni Shabiki wa timu ipi!

Juve ni Team iliyokamilika... we will come back again... Soccer ndio ilivyo ila kwa juve si timu ya level Ndogo.... Tukimchukua Icardi nadhani ndio mtazidi kuichukia na chuki zenu ndio Baraka Kwetu
 
Mchukueni tu atawasaidia kubeba Scudetto tu sio vinginevyo
 
Icard kwenye kivuli Cha Ronaldo? Ni kumpoteza tuu... Ronaldo anataka Timu icheze kumzunguka yeye ndomana unaona dyaballa wa msimu huu kiwango kimepungua...

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kwa kipa huyo mlie nae na hiyo defense ya shikamoo jazz band msahau tu UCL crown.
Bibi mzee ataendelea kusindikiza kama overhaul haitafanyika
 
Kwa kipa huyo mlie nae na hiyo defense ya shikamoo jazz band msahau tu UCL crown.
Bibi mzee ataendelea kusindikiza kama overhaul haitafanyika
Even Barca wamesota sana tokea last time walipokuwa mabingwa wa UCL hivyo ni Subra tu
 
Ukiwa mshabiki wa barca,af Italia ukaipenda Juve(kabla ya kuja Ronaldo),basi kila gam Juventus wakifanya vibaya,lawama zote unamtupia Ronaldo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mara oooh,anataka timu icheze chini yake,hampi uhuru Dybala.



Ile game Juve anapoteza 2-1 kwa Spal,kuna swahiba wangu wa barca na juve,akanambia,tatizo ni Ronaldo palee,alikuwa hajafaham kama Ronaldo hakuwepo hiyo siku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtaongea sana. Mm juve lawama zote nampa kocha. Kocha wa juve hawezi kutupa UEFA .bora hata apewe timu babu wa Atalanta. Nilisema mda tu, huwezi kumtoa Mattia Caldara kwa mkopo Milan ukamwacha Rugani kwenye timu. Huawezi kimruhusu Benatia aondoke kisa Bonnuci karudi. Huwezi kumpanga de sciglio wakati mwaka jana tu game na madrid ilimshinda akaingizwa lichestriner. Unamwacha Mandragora aende kwa mkopo Udinese wakati dogo ndio beki mwenye roho mbaya. Tulichovuna ndio kile, De sciglio katuua wenzie wanacheza offiside trick yeye anatembea nyuma. RuganI yy mrefu anazidiwa kuruka kichwa na De ligt, mbaya zaidi anafanywa stand wakati wa kuruka kichwa badala ajiangushe ionekane ni rafu yy anapambana Pumbavu kabisa Mandragora na Caldara wasingeruhusu u.se.nge ule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…