Juventus Special Thread

Unajua bao la kutafuta muda mrefu linakuaga tamu!
Vidal scores a wonder goal akiwa nje ya 18, kitu kama cha 25 yards
Torino 0-1 Juventus, dk 88
 
89'
Second yellow card to Kamil Glik (Torino) for a bad foul.
 
Full time, Torino 0-2 Juventus

Forza Bianconeri!
 
PIRLO TO RETIRE FROM INTERNATIONAL FOOTBALL AFTER 2014 WC

Italy midfielder Andrea Pirlo will retire from international duties after the 2014 World Cup, insisting he must make way for younger players to break into Cesare Prandelli's side.

Pirlo, 34, has been capped 97 times for Italy and was a key part of the side that lifted the 2006 World Cup in Germany.

The Juventus playmaker is also expected to lead the Azzurri into next year's tournament, but has made room for a changing of the guard, regardless of Italy's results.

Despite Pirlo's decision to quit international football, he insists he will prolong his club future as much as possible, with Juve on the brink of back-to-back Serie A titles.

"In 2014 I will stop with the national team, I think the World Cup will be the

last appointment with the blue shirt," he was reported as saying by Gazzetta

dello Sport. "You have to leave room for the young.

"At club level I will continue on as long as I have passion and I feel

important. Otherwise I'll be the first to get me out."

Juve need just a point against Palermo in Turin on Sunday to secure this season's league title, but Pirlo refuses to celebrate until the final whistle has been blown.

"We have to get the point and then we can talk about the Scudetto," he said. "Believe us, we want to end the season on Sunday. It will be the title of continuity. The group has done something important

last year and this year we have repeated that, which is never easy."
 
Huyu jamaa ni mmoja ya viungo ninaowakubali sana,Allegri alifanya ujinga mpaka Pirlo akahama AC Milan
 
Huyu jamaa ni mmoja ya viungo ninaowakubali sana,Allegri alifanya ujinga mpaka Pirlo akahama AC Milan

Mnammiss eeh? Pirlo amekamilika zaidi hata ya Xavi na Iniesta, mtu anayeweza kumkaribia ni Bastan Schweinsteiger.
Halafu kingine nachompenda Pirlo ni low profile yake, he does his talking on the pitch basi, kama Zizou au Scholes!
 
Mnammiss eeh? Pirlo amekamilika zaidi hata ya Xavi na Iniesta, mtu anayeweza kumkaribia ni Bastan Schweinsteiger.
Halafu kingine nachompenda Pirlo ni low profile yake, he does his talking on the pitch basi, kama Zizou au Scholes!
Nilikuwa namsoma juzi alivyokuwa anahadithia jinsi Pep Guardiola alivyokuwa anamshawishi atue Barca,anasema watu wote walikuwa wanazungumzia tetesi za Ibrahimovic kutua Milan but hakuna aliyejua kuwa Pep anamwinda jamaa
 
hongereni wakuu...

ahsante mkuu ila kombe limeleta balaa ndani ya klabu.Conte anasema amefikia malengo kabla ya muda waliojiwekea kuisha na hivyo wanapaswa kwenda second stage ambayo ni project kubwa kurudisha makali ulaya kwa kusajili wachezaji wakali wengi na sio Higuain na Ibra pekee.pia anataka mfumo wa youth team upewe kipaumbele na scouts wafanye kazi kutafuta wachezaji wakali wasiojulikana kama walivyoibuliwa akina Del Piero.akina Marotta wao wameng'ang'ana na "economic gap" wee kila siku kuwazungumzia Bayern Munich.ukizingatia mafanikio waliyoyapata Juve ndani ya misimu hii miwili,Conte ana haki ya kudai project ya maana sasa.Tatizo la akina Marotta ni "akili ndogo kukabidhiwa mambo makubwa".wanavuta muda sana kufanya maamuzi makubwa kwa kisingizio cha uchumi mdogo.mie nadhani kwa situation iliyopo Juve wana uwezo wa ku-meet demands za Conte ambazo pia ni expectation zetu mashabiki.Marotta asifikiri ile ni Sampdoria.Hii ni Juve ya dunia na sio Italia tu.They have to share Conte's vision 'cause he's a real bianconero and knows where we belong.kama hawawezi au wanaogopa kuinvest basi waende Atalanta,Parlemo and the likes.watuachie Juve yetu!Timu ya nane kwa utajiri duniani halafu imejaa akina Pepe na Giovinco waende kutwaa champions league,that's a joke!
 
Wakuu nipo kwenye pepa wiki hii. FORZAAAAA JUVENTUS. Mkuu mourinho naimani Andrea Agnelli ameliona hilo. Lazimatusajili majembe mwaka huu. Naimani juve italeta mabadiliko ya soka pamoja na AC milan. Tangu tulipofanyiwa fitina ule mwaka soka lilipoteza utamu Italia. But naimani tumerudi na Ac milan nao wamerudi. Kushushwa daraja si mchezo Gang Chomba. hata hao wafia Barca wakifanyiwa hivyo lazima wapotee kwenye soka.
 

Mkuu all the best!

Kama yatafanyika mabadiliko kuimarisha kikosi then itakua poa sana but sidhani kama tunahitaji reshuffle kubwa sana ya kikosi or else tutapoteza the mutual understanding btn players ambao wamekaa kwa muda sasa, with Conte tuna team wazee and not just only a mere squad like Madrid au Man Cty.

One prolific striker kama Higuain au Alexis Sanchez anatosha kusaidiana na kina Vucinic, then labla na kwenye midfield apatikane mtu wa kumsaidia kidogo Pirlo, manake kwa sasa ukimkamata Pirlo ambaye most of the time dictates the pace of our game, then umeikamata Bianconeri just like Bayern did

Kwenye defenders am not so sure if we need any changes, kama kuna weakness sehemu ambayo ikifanyiwa marekebisho itatusaidia kupigania UCL msimu ujao then nadhani wakuu mtapa-highlight or else lets celebrate the Scudeto.

Forza Bianconeri.
 

lakini Conte haridhiki na kikosi kilichopo.kuna mvutano hivi sasa baina yake na directors.yeye anataka changes kubwa na anaamini uwezekano huo upo.amesema juzi kuwa kuhangaika na watu mmoja au wawili tu haitoshi,anataka usajili wa maana na project endelevu kuwapa nafasi young players,kitu ambacho Italia hawapendi kusikia na ndo maana timu nyingi zilijaa wazee.hizi demands zake Juve wanaona ni high risk taking!wanataka kuendelea na mabadiliko ya taaratibu!Conte juzi wakati akiulizwa mustakabali wake klabuni baada ya kufuatiliwa na Madrid,chelsea na man city alisema hawezi kuzungumza kama anabaki au la mpaka Juve watakapokubaliana naye kuhusu proposal zake mpya kwenye project na hasa usajili wa maana na mfumo wa kunyanyua wachezaji wenye umri mdogo.anasema bado anahitaji watu ili kujenga kikosi ambacho kitacheza offensive game with a lot of possession na mashambulizi yakijengwa toka nyuma kwenye defence na huku mbele kukiwa na wide attackers at least wawili wenye uwezo wa kufanya mashambulizi ya kustukiza.ni ishu serious wazee kuna mvutano Juve hivi sasa!
 


Ghohan Inler, Behrami, Dzemaili na marek Hamsik....hivi vitoto vinanifurahisha sana kwa kweli...
I wish viendelee kuwepo msimu ujao na Cavani wao ili timu za Italia zifanye vizuri nxt season of champions ligi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…