Juventus Special Thread

Juventus Special Thread

Hapana. Mechi ya kwanza Turin ilikuwa draw ya bila magoli.

Leo Munich, The Old Lady kapigwa 4 kavu.

Huyo bibi naye ameshazeeka mambo ya malavu ajiudhulu tena asije akakumbana na ile timu ya Angola bule. Companero na Juve 2012 mnakaribishwa sana Santiago Benabeu kutushuhudia tunavyommaliza huyu ----- Bavarian naamini droo itatukutanisha naye tena.
 
umejuaje?nimebakiwa na Madrid tu kwenye kapu langu la kupoza machungu!nitafurahi sana kumuona Mourinho akipiga magoti kushangilia ubingwa wake wa tatu na timu tofauti!tumemis vituko vyake!
 
umejuaje?nimebakiwa na Madrid tu kwenye kapu langu la kupoza machungu!nitafurahi sana kumuona Mourinho akipiga magoti kushangilia ubingwa wake wa tatu na timu tofauti!tumemis vituko vyake!

Karibu kaka naamini tutafurahi tu. Mwanzo nilikata tamaa kwa jinsi tulivyopata taabu kwa Galatasary lakini jinsi Barca alivyopunxuliwa na PSG, Bayern alivyoponywa na Arsernal na Dotmund alivyonusulika kwa Malaga nimegundua kombe alina mwenyewe na hayo ndio maeneo ya kujidai kwa The "Special One"
 
Teh teh teh yaani umenifanya nikumbuke nyimbo hizi Jamila analiaaa eti Juve imefungwa na hii kwa kauli yako

Miriam Makeba- Pole Mze - YouTube
Pole pole mzee,pole pole mzee,pole pole bibi kizee(Juve) kwa kufungwaaaaaa!

gutierez unakwenda kwa dortmund.ukichomoka hapo(kwa shida sana kama jana)unakwenda kwa madrid au bayern!jiandae kufanyiwa plastic sugery maana sura itaharibika kwa kununa!
 
You are welcome Spain,yaani ni bora hata ungesapoti Malaga hahahahaha,ni khe khe kheri ufe kwa kugongwa na gari la ghorofa liendalo ilala :rockon:!

Nje ya Italia sijawahi kushabikia timu.
Pia ndani ya Italy ntazishabikia timu zoooote kasoro Inter Milan...

El fin
 
Nje ya Italia sijawahi kushabikia timu.
Pia ndani ya Italy ntazishabikia timu zoooote kasoro Inter Milan...

El fin

comrade baelezee hao!.....ila mijerumani iko vyema msimu huu!juve siyo ya kupigiwa umamani na ubabani lazima ujue tumekutana na kisiki cha mjerumani!hawa mamama wa spain nilikuwa nawatamani sana nikutane nao semi
 
164273_652154574811775_493231066_n.png
 
Juventus (3-5-1-1) – Antonio Conte Gianluigi Buffon; Andrea Barzagli, Leonardo
Bonucci, Giorgio Chiellini; Stephan Lichtsteiner,
Arturo Vidal, Andrea Pirlo, Paul Pogba, Kwadwo
Asamoah; Claudio Marchisio; Mirko Vučinić.

AC Milan (4-3-3) – Massimiliano Allegri Christian Abbiati; Ignazio Abate, Cristian Zapata,
Philippe Mexes, Kevin Constant; Riccardo Montolivo,
Massimo Ambrosini, Kevin-Prince Boateng;
Robinho, Giampaolo Pazzini, Stephan El Shaarawy.
 
pole sana mkuu... ukubali tu juve ndio baba yako kwa sasa....

forza biansoneri :rockon:
 
Ngoja Napoli watandikwe na Pescara ndani ya Stadio Adriatico ili Bianconeri tutangaze Ubingwa rasmi kesho na Torino
 
Back
Top Bottom