Juventus Special Thread

Juventus Special Thread

Mara hee mara hiiii eti juve atafungwa na B. Munich. Hya tutaona siku hiyo. JUVE NINAIMANI ITANIPA RAHA SIKU HIYO. Forza Juventus.
 
Mara hee mara hiiii eti juve atafungwa na B. Munich. Hya tutaona siku hiyo. JUVE NINAIMANI ITANIPA RAHA SIKU HIYO. Forza Juventus.

Munich waliochezeshwa makhirikhiri juzi na team mbovu kama Arsenal watauweza mziki wa Bianconeri? Thubutuuu!!!
 
Habari:Beki wa Juve Martin Caceres apata ajali ya gari lakini apona. Tetesi:juve wanataka kumrudisha Ibra Turin. Tetesi:vidal atangaza kuimwaga Bayern iliyotaka kumsajili tena kwa mara ya pili.asema yupo yupo Turin for a looooong time!
 
Habari:Beki wa Juve Martin Caceres apata ajali ya gari lakini apona. Tetesi:juve wanataka kumrudisha Ibra Turin. Tetesi:vidal atangaza kuimwaga Bayern iliyotaka kumsajili tena kwa mara ya pili.asema yupo yupo Turin for a looooong time!


Ndio madhara ya kuendesha gari ukiwa umelewa...ok pole Martin
 
Ebana leo timu ya Taifa ni Milan na Juve tu ndio wamehusika.
JUVE...
BUFFON, BONUCCI, BARZAGLI, PIRLO, GIACHELINI NA MARCHISIO.

MILAN.
DE SCIGLIO, ABATE, MONTOLIVO, EL SHAARAWY, SUPER MARIO.

wameipachika jina MilanTus...badala ya Juventus.

Balotelli akiifungia Italy magoli mawili.
Malta 0-2 Italy
 
Ebana leo timu ya Taifa ni Milan na Juve tu ndio wamehusika.
JUVE...
BUFFON, BONUCCI, BARZAGLI, PIRLO, GIACHELINI NA MARCHISIO.

MILAN.
DE SCIGLIO, ABATE, MONTOLIVO, EL SHAARAWY, SUPER MARIO.

wameipachika jina MilanTus...badala ya Juventus.

Balotelli akiifungia Italy magoli mawili.
Malta 0-2 Italy

halafu kombinenga ya milantus huwa ni balaa!si ndio ile ya akina baresi,baggio,albertini,massaro,donadoni,pagliuca au nimekosea jamani?sikumbuki vizuri!
 
Leo Inter wajiandae kufanyiwa kitu mbaya in their own backyard na ushindi wa leo utakua unatuhakikishia kubakia na scudeto coz simuoni mpinzani kwa kweli.
Napoli catch us if u can, tukutane hapa kwenye majira ya saa 11 jioni ya leo.
 
Inter Milan XI (3-4-1-2): Handanovic; Ranocchia, Samuel, Chivu; Zanetti, Kovacic, Gargano, Pereira; Alvarez; Palacio, Cassano
Juventus XI (3-5-2): Buffon; Barzagli, Bonucci, Chiellini; Padoin, Vidal, Pirlo, Marchisio, Asamoah; Quagliarella, Matri
 
kumuangalia Pirlo anavyotawala dimba ni burudani tosha
 
Matri for a 2nd time anatunyima goal, midfield yetu ya Pirlo, Vidal na Marchisio inaonana vizuri sana
 
Vidal naye anafanya nini tena, hizi nafasi tusije kuzijutia na hawa Inter wameshaanza kucheza undava
 
10160_643989195628313_629106572_n.png
 
Habari kwisha!Scudetto sealed.bado Bayern!Chomba bado anapanda ngazi wakati sie tushafika kileleni na tumeamua kuisukuma ngazi ianguke chini!

Juve ya Conte ina sifa moja hatari sana.They always hit at right moment.ushindi huu wa leo utaiumiza Inter kuliko zile goli 3 zao walizotupiga Turin.Bado Chomba na viduku vyake.nimekaa tayari na mkasi nivinyoe vyote!
 
Safi sana JUVENTUS. Yan mimi dua zangu LOlente asisajiliwe Juve. Qugliarela anauwezo wa hali ya juu sana jamaa yule, sema kocha hampagi sana nafasi. Wiki ijayo kama kawaida. FORZA JUVENTUS.
 
Juve ya sasa, sio kama ya zamani
Juve ya leoo inasonga mbelee
Qugliarela na Matri wanafunga magoli gidogo,
Ayee kidogo, Yanatupa ubigwa wa SCUDETO,
 
Kila la kheri vijana wangu,leo nipo nyuma yenu!let the game begin.......
 
The thing is tunatakiwa tujuwe kule kwa
Litchsteiner kwanza atacheza nani?
Je Isla anaweza kumzingua Libery mpaka amtoe
kwenye ari ya mchezo? Then kwa upande wa Vidal Pardo mi naomba tu
aanzishwe Kwadkwo, then pale mbele wacheze
Mircko na Fabio au ikiwezekana Mircko na
Sebastian. Nalazimika kupingana na wenye timu mnaosema
Pirlo asicheze siku hiyo.
Mzee Andre ni mtu muhimu sana katika mechi
hiyo.
hata Gaucho ambae ni Nabii na Mtume wa Mwisho
wa Soka huwa anaflop katika baadhi ya mechi. Mnachotakiwa mkijuwe ni Bayern wao last wk
end walikuwa na kibarua kidogo ambapo
walikimaliza kwa ushindi wa goli 9 huku baadhi
ya wachezaji wa akiba wakianza siku hiyo. Ila Juve walikuwa na Vita dhidi ya Inter.
Kwa mtu yeyote alieangalia mechi ya Juve na
Inter atakubaliana na mimi kuwa Juve katika
mechi yao dhidi ya Bayern walikuwa kwenye
uchovu mkubwa sana, haswa Mzee Pirlo ambae
alitifuana sana na Akina Cambiaso na Zanetti hata kupelekea kupata ushindi wa tabu wa goli 2-1. Hivyo Mzee Pirlo na Buffon waala sio watu wa
kulaumiwa.
Juve woote walicheza wakiwa na uchovu mwilini. Forza Italy...
 
Back
Top Bottom