Juventus Special Thread

Unapokuwa na ukuta wa Lichsteiner, Barzagli, Bonucci na Chielini huku Pogba akiwa kama Backup yaani unakuwa huna wasiwasi.
Hiyo Kamari mnayotaka kuicheza mi siioni kama ina maantiki yoyote

Hivi pale Roma huwa wanavuta nini au ndio madhara ya crack? Apparently jamaa wamewaweka sokoni Miralem Pjanic, Erick Lamera, Dani Osvaldo na my all time favorite Daniele De Rossi.
 
Kama ulikuwepo vile mkuu, nani ataziba pengo lake? Halafu huyo dogo, ndio ni mzuri but sio mzuri kivile, hatuhitaji sacrifice kubwa namna hii kwa mchezaji kama huyo

hivi nani anaamua kuuza players,director au coach?
 
Hivi pale Roma huwa wanavuta nini au ndio madhara ya crack? Apparently jamaa wamewaweka sokoni Miralem Pjanic, Erick Lamera, Dani Osvaldo na my all time favorite Daniele De Rossi.

usiniambie?duh?roma watakuwa ile bangi wanaigeuza wanaivutia kule kwenye moto na moshi wanameza!
 
usiniambie?duh?roma watakuwa ile bangi wanaigeuza wanaivutia kule kwenye moto na moshi wanameza!

Yaani hawa jamaa ni vituko na vioja, juzi hapa wametoa kali ya mwaka.

Walikua wanafanya mahojiano na radio moja ya hapo jijini Roma, baada ya kumaliza si wakasahau kukata simu halafu wao wakawa wanaendelea kupanga mipango yao michafu, kumbe jamaa wa radio anawarecord.

Kubwa katika maongezi yao ilikua ni kuuza kwa baadhi ya wachezaji ili wapige mpunga, katika list walikua Rossi, Osvaldo na Pjanic na mkakati wa kumconvince Osvaldo ilikua kuhakikisha anakua available kwenye match yao ya kwanza ya pre season azomewe viziri na washabiki ili kazi ya kumshawishi iwe rahisi.

Baada ya deal yao kushtukiwa, wakamuwakia sana huyo mtangazaji na vitisho vya kumpeleka mahakamani, sijui hata wameishia wapi.

Hiyo coca wanalamba hapo Roma itakua imechanganywa na mavi ya kuku, sio bure!
 
Ukisikia mchezaji anasema anahitaji muda zaidi ujue tu kama ni kamali ushaliwa. Msikieni huyu;

Fernando Llorente: I need more time

Fernando Llorente says he just needs a bit of time to settle into life as a Juventus player as he still seeks his first goal in a Bianconeri shirt.

The Spain international striker joined the Old Lady in the summer, arriving on a free transfer from Athletic Bilbao.

But after several weeks of pre-season training with the Serie A champions, Llorente admits he is still getting to grips with the new style of play and the demands of coach Antonio Conte, although he denies that the Juve coach is unhappy with his progress.

“I just need more time to get used to the new way of working,” he said. “I’ve got to say, though, that I’ve been welcomed here very well. The coach has used me in the attack of a 3-5-2 formation so far and I’m doing things I had never done with Athletic, so I’ll need time to understand what the coach wants from me.

“I need more time to find the right feeling with my team-mates, but it’s not true that Conte isn’t happy with me. He’s never said that to me. In fact, he’s satisfied with the work I’ve done so far.”

Llorente's departure from Athletic was tainted by the boos which overshadowed his final game for a side he had represented 314 times, and for whom he had scored 110 goals.

Nevertheless, he feels leaving the club he had played for since the age of 17 and moving to Juve was still the right move to make, while he also believes it will help him secure a place in the Spain squad for next summer’s World Cup.

“I’m delighted to be back in the fold for Spain,” he told Cadena Ser. “I still think, after all the controversy over the end of my time in Spain, that I’ve chosen the right club to come to.”
 
Mm huyo nilijua tu nini kitamkuta. Ndio maana nasema mtu kama Quagliarela sio wa kukurupuka kumuuza kisa umempata Lloriente.
 
Mm huyo nilijua tu nini kitamkuta. Ndio maana nasema mtu kama Quagliarela sio wa kukurupuka kumuuza kisa umempata Lloriente.

Ndio wanamuuza sasa, probably na Matri. Halafu team zinazomtaka sasa, Sunderland na Norwich City, mpaka napatwa na hasira maanina!
 
Matri,Quagliarella,Vucinic,Giovinco si wa kuuza.halafu mbona kati hatugusi?tunatakiwa kusajili viungo walau playmaker mmoja na wide mmoja.Llorente tumpe muda!aliwekwa benchi muda mrefu pale bilbao!jana nilishuhudia mpambano wa Italia na Argentina.tuanze kutafuta mbadala wa Buffon na napendekeza Federico Marchetti.
 

Mkakati ni kupunguza strikers wawili coz kuna wawili wapya na katika hao Giovinco is not for sale because of his versatility, so ni wao na Vucinic but club haitaki kumuuza Vucinic.

Kiungo wenzako si ndio wanamtaka huyo dogo Eriksen

Buffon hana tabu kaka ila tu ni kudrop kwa kiwango cha Azzuri, in fact Buffon hana mpinzani bado Dunia nzima, lakini kama goalie yoyote yule mzuri, team isipocheza vizuri utamuona pazia tu
 
Wakuu mmeona kazi nzuri ya jana. Maana pre season ilituweka roho juu balaa.
 
Ta ra ta raraaa..salamu toka Roma zikufikie ewe jiji la Milan na Naples!
 
Wakuu mmeona kazi nzuri ya jana. Maana pre season ilituweka roho juu balaa.

kwa kweli!yaani hadi Mourinho alilikimbia jukwaa!hebu rudini jamani mie na bologna tumesharejea tayari kwi kwii!yaani pre season imesababisha uzi wetu ushuke daraja hadi page ya 2 ha ha haa!ila dogo Pogba anajua sana!
 
kwa kweli!yaani hadi Mourinho alilikimbia jukwaa!hebu rudini jamani mie na bologna tumesharejea tayari kwi kwii!yaani pre season imesababisha uzi wetu ushuke daraja hadi page ya 2 ha ha haa!ila dogo Pogba anajua sana!

Hahahahahahahaaa, Mourinho hajawahi kukimbia jukwaa Mkuu ila sikubahatika kuangalia hiyo match, nilikuwa shamba wami-dakawa weekend yote hii, hapa navizia marudio tu!
 
kwa kweli!yaani hadi Mourinho alilikimbia jukwaa!hebu rudini jamani mie na bologna tumesharejea tayari kwi kwii!yaani pre season imesababisha uzi wetu ushuke daraja hadi page ya 2 ha ha haa!ila dogo Pogba anajua sana!

Kosa ambalo Fergi alilifanya ni kumwachia huyo dogo
 
hongereni...
Mimi timu za mji wa Roma zinanichefua mno kwenye swala la Ubaguzi, sasa kulikuwa na Ulazima gani kuwazomea wachezaji weusi wa Juve?
Mipuuzi kabisa yani
 
hongereni...
Mimi timu za mji wa Roma zinanichefua mno kwenye swala la Ubaguzi, sasa kulikuwa na Ulazima gani kuwazomea wachezaji weusi wa Juve?
Mipuuzi kabisa yani

Lazio hit with racism punishment


Lazio have been punished for racial chanting from their fans during the Supercoppa defeat to Juventus on Sunday night by having part of the Stadio Olimpico closed for their Serie A opener against Udinese.

The Lega Calcio has applied new powers which came into force this season to close the Curva Nord of the Olimpico next Sunday after several Juve players were the target of discriminatory remarks emanating from that part of the stadium, where the Biancoceleste’s most fanatic supporters are located.

The incidents took place “from the 16th to the 28th minute of the first half, and continuously from the 20th to the 43rd minute of the second half”, according to a Lega Calcio disciplinary report.

They took the form of “chants and shouts of a racially discriminatory nature towards three footballers of the opponents’ team”, the report added.

Paul Pogba, one of the victims along with Kwadwo Asamoah and Angelo Ogbonna, quite clearly heard the chants and monkey noises, but chose not to react.

“We expected it, they’re just ignorant people,” he told Frances’ AFP agency. “What could I do? I was alone against 30,000 spectators. They do it even though there are black players in their team, which is a lack of respect towards their own players.

“To come to a football game and hear such things is really horrible, but I just play. I’m focused on doing my job.”

Juventus won the game 4-0 with Pogba scoring the opening goal, providing the Frenchman with something positive to remember the match for, in spite of the barracking.

“It’s been bothering me [not scoring] since the goal I scored against Siena [on February 24],” the 20-year-old said. “Maybe I’d lost my eye for goal a little. I had plenty of shots last year without scoring, but you mustn’t ever get disheartened.”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…