Juventus Special Thread

Inabidi baada ya mechi uje na mtazamo juu mfumo wa mabeki 3 wanaotumia Juve kama unafaa au vp katika soka la Ulaya (nje ya Italy)..
Naona kama unawasumbua sana nje ya Italy kwenye mfumo wa mabeki 4....

you are very right mkuu.tatizo lililopo kuna watu pale Juve wasipokuwepo uwanjani huo mfumo hauchezeki.Umeona jinsi flank za Juve zilivyogeuka uchochoro kipindi cha pili?Tumeshinda lakini kwa mbinde.Hawa jamaa kama alivyosema Mourinho tukienda kwao itakuwa utata.Hata hivyo kuna malalamiko ya mashabiki wa Juve kuwa Conte na timu yake hawako serious na hili kombe ingawa kajibu kama alivyoleta habari Mourinho.Ingawa halina hela lakini ni platform nzuri ya Juve kujifunza kucheza na timu isiyozijua.Kwenye mechi za CL Juve wamekuwa nervous sana kiasi kwamba ule uzuri wao wa serie a walishindwa kuuonyesha ulaya.Ndio maana nataka washiriki hili kombe hadi mwisho litawasaidia sana CL ya mwakani lakini ndio hivyo,washaonyesha wanalichukuliaje kwani wamepanga wachezaji 5 tu wa kikosi cha kwanza kwa muda mwingi wa mechi.Psychology na choice za Conte bado sijazikubali.Ile amshaamsha ya serie a siioni ulaya,wanakuwa too relaxed at the same time nervous.Wakitangulia kufunga magoli mawili ndio kabisaa,sahau la tatu.Labda akina Llorente watasaidia kuondoa huu utamaduni wa kiitaliano wa kurelax baada ya kufunga magoli moja au mawili.Wanaudhi sana hawa jamaa.Ndio maana nampenda sana Lippi,hakupenda huu ujinga,timu ya Lippi inashambulia mwanzo mwisho!That guy is my hero.Angalia Shanghai inavyosumbua huko Asia.Kuna psychological lessons Conte anakosa.
 

And it's about time Conte change his beloved 3-5-2 formation, anaogopa nini kucheza say 4-1-3-2, au 4-2-3-1? anajihami na nini mpaka acheze na mabeki watatu wa kati na wawili pembeni? Mabeki watano? Halafu FBs wanaomudu huo mfumo ni wawili tu, Asamoah na Lichtsteiner, jana Peluso na Isla walikua wanashindwa kufanya chochote cha maana wakifika kwenye final third
 
We pachanya wa wapi wewe? Mzee fabio kapelo kashakumbia kuwa juve haina mpinzani pale italy. Kwa % nyingi yupo sahihi. Mkuu Mourinho hii game yenu na Torino ni derby? Kule milan kuna derby dela madonino yenu mnaita derby nini vile?
 
Last edited by a moderator:
We pachanya wa wapi wewe? Mzee fabio kapelo kashakumbia kuwa juve haina mpinzani pale italy. Kwa % nyingi yupo sahihi. Mkuu Mourinho hii game yenu na Torino ni derby? Kule milan kuna derby dela madonino yenu mnaita derby nini vile?

Ni derby asee, tunaiita Torino é bianconera
 
Last edited by a moderator:
Fuerte apache, che derby di merda, grande fantástico Carlitos

Forza Bianconeri

Mdau nimekuogopa, yaani unashusha kiitaliano utadhani kimatumbi..!!

Ndugu yako GC aka Shifta nimemkuta kwenye uzi wa 'wako wapi wachezaji wachekeshaji' anammwagia masifa nabii wake wa soka Gaucho.
 
Mdau nimekuogopa, yaani unashusha kiitaliano utadhani kimatumbi..!!

Ndugu yako GC aka Shifta nimemkuta kwenye uzi wa 'wako wapi wachezaji wachekeshaji' anammwagia masifa nabii wake wa soka Gaucho.

Hahahahhhahahahaaaaaa, huyo ndio maestro comrade Gang Chomba
 
Last edited by a moderator:
Mdau nimekuogopa, yaani unashusha kiitaliano utadhani kimatumbi..!!

Ndugu yako GC aka Shifta nimemkuta kwenye uzi wa 'wako wapi wachezaji wachekeshaji' anammwagia masifa nabii wake wa soka Gaucho.


teh teh kuna maarab mmoja wa Torino anaitwa El Khadoury dah ni hazina kwa kweli ile.

Amekosa tu usaidizi, ila anajuwa saana.
 
Hivi hawa Torino hawawezi hata kupata Suluhu tu leo...


hao jamaa wala usiwawekee pesa.
Hao watu hawajafunga goli langoni mwa juve kwa muda mrefu mno...
So wazee wa mkeka huwa hawawashobokei kabisa.
 
Kinachonishanga kwa juve ni kuwa pamoja na mbwembwe zoote lakini ni timu inayojihami kwa kuchezesha mibeki mitano...

Mimi naamini njia pekee ya kujihami ni kukaa na mpira na kushambulia.

Je Gang Chomba ana akili kuliko Conte?
 
Kinachonishanga kwa juve ni kuwa pamoja na mbwembwe zoote lakini ni timu inayojihami kwa kuchezesha mibeki mitano...

Mimi naamini njia pekee ya kujihami ni kukaa na mpira na kushambulia.

Je Gang Chomba ana akili kuliko Conte?

Mie naamin Gang Chomba ana akili zaidi hata ya Mourinho ila tu, hajui wapi pakuzitumia akili zake
 
Last edited by a moderator:
BUFFON: TRUE CHAMPION CARLITOS DECIDED THE MATCH

The veteran goalkeeper has hailed the Argentine's ability to rise to the big occasion, after the the forward netted the only goal of the Derby della Mole

Gianluigi Buffon has praised Carlos Tevez for his game-deciding contribution to Juventus' 1-0 Serie A win over Torino on Sunday evening.

The Argentina international settled the Derby della Mole in the Italian champions' favor with a fine first-half strike, and his skipper was quick to highlight the striker's importance to the Bianconeri after the game.

"Tevez is a great player who helped us to the full three points in a difficult game with his goal," Buffon told Sky Sport Italia. "These kinds of games are often decided by flashes of brilliance from true champions, and we have a number of players like that in our team."

Buffon went on to hail Torino for its good performance, but dismissed the Granata's claims that they should have been awarded a penalty when Andrea Pirlo appeared to trip Omar El Kaddouri in the area with just 10 minutes to go.

"Torino are going through a good season and this allowed them to start the game with a clear head," the Italy international said. "They deserve compliments for their display. It was a good game and a real derby.

"The referee was quite strict and blew his whistle a lot. But I don't think it was a penalty."

Juventus is once again nine points clear of second-placed Roma in the Serie A standings.
 
Italia kuna madogo wengi wakali sana.Tuna kazi ya kuwabakiza serie a misimu miwili ijayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…