juve2012
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 3,343
- 2,040
Inabidi baada ya mechi uje na mtazamo juu mfumo wa mabeki 3 wanaotumia Juve kama unafaa au vp katika soka la Ulaya (nje ya Italy)..
Naona kama unawasumbua sana nje ya Italy kwenye mfumo wa mabeki 4....
you are very right mkuu.tatizo lililopo kuna watu pale Juve wasipokuwepo uwanjani huo mfumo hauchezeki.Umeona jinsi flank za Juve zilivyogeuka uchochoro kipindi cha pili?Tumeshinda lakini kwa mbinde.Hawa jamaa kama alivyosema Mourinho tukienda kwao itakuwa utata.Hata hivyo kuna malalamiko ya mashabiki wa Juve kuwa Conte na timu yake hawako serious na hili kombe ingawa kajibu kama alivyoleta habari Mourinho.Ingawa halina hela lakini ni platform nzuri ya Juve kujifunza kucheza na timu isiyozijua.Kwenye mechi za CL Juve wamekuwa nervous sana kiasi kwamba ule uzuri wao wa serie a walishindwa kuuonyesha ulaya.Ndio maana nataka washiriki hili kombe hadi mwisho litawasaidia sana CL ya mwakani lakini ndio hivyo,washaonyesha wanalichukuliaje kwani wamepanga wachezaji 5 tu wa kikosi cha kwanza kwa muda mwingi wa mechi.Psychology na choice za Conte bado sijazikubali.Ile amshaamsha ya serie a siioni ulaya,wanakuwa too relaxed at the same time nervous.Wakitangulia kufunga magoli mawili ndio kabisaa,sahau la tatu.Labda akina Llorente watasaidia kuondoa huu utamaduni wa kiitaliano wa kurelax baada ya kufunga magoli moja au mawili.Wanaudhi sana hawa jamaa.Ndio maana nampenda sana Lippi,hakupenda huu ujinga,timu ya Lippi inashambulia mwanzo mwisho!That guy is my hero.Angalia Shanghai inavyosumbua huko Asia.Kuna psychological lessons Conte anakosa.