Juventus Special Thread

Nimekupata, ni muhimu tukafanya soko la ndani, wasiachwe wakaibwa na vilabu vyenye pesa za mafuta

yap!uliposema pesa za mafuta umenikumbusha pesa zetu za mafuta tulizokuwa tukijaziwa na mdau mwenzetu(nadhani walimwua hawa washenzi wa U.S) yule mtoto wa Ghadafi aliyekuwa amewekeza sana Juve miaka ile.Sina hamu na hawa mashetani wa pentagon wanaopenda kuharibu ustawi wa jamii nyingine pale wanapoona zina amani.Ukweli niliumia kwa mengi walipomwua Gadaffi maskini.Alikuwa Juve dam dam yeye na family yake na Juve na serie a kwa ujumla inakubalika sana nchi za middle east na northen Afrika.
 
Italia kuna madogo wengi wakali sana.Tuna kazi ya kuwabakiza serie a misimu miwili ijayo.

Hao baada ya misimu 2 hawatakuwepo tena Lavezzi,Pastore,Coutinho,Thiago Silva,Marquinhos,Cavani,Verrati na wengineo walikuwa serie A now wote wameuzwa
 
Fiorentina, Juventus on collision course

Fiorentina and Juventus will both be taking different approaches to their Europa League round of 32 clashes on Thursday night, with the common goal of a last-16 meeting.

The Viola defend a 3-1 advantage over Esbjerg when they welcome the Danish side to the Stadio Artemio Franchi while Juventus need to see a 2-0 advantage over Trabzonspor through to the end in Turkey.

Victory for both Serie A sides would set up an all-Italian clash while also ensuring three games between the antagonists in just over a week, following their Serie A meeting at the Juventus Stadium on March 9.

Due to the hectic schedule qualification would produce, Juve coach Antonio Conte says he is "obliged" to rotate his side. "We've got a great deal of enthusiasm for this competition," he said at a news conference. "It's a competition which will see all of our squad involved.

"In the first leg, those players who haven't been getting as much of a game lately did a good job and I expect them to do even better tomorrow. If we do it well, we'll go through. We've got a lot of respect for Trabzonspor. We know what quality they've got up front. We're not going to sit on our two-goal lead because we know how important a goal would be."

Fiorentina may be in a more comfortable position in their tie, but coach Vincenzo Montella has no intention of following Conte's example. "I'm picking my strongest team," he said. "There's always a risk you don't take games like these seriously enough so I've got to keep all of my players motivated and on their toes if we want to go through."

Mario Gomez could make his first start since September with the player "in need of continuity to get into a match rhythm," although Montella does not want to take any risks on the Germany international either. "I'll see how things go in training and ask him how he feels," Montella said.

Victory for both sides would set up a last-16 meeting with the first leg taking place at the Juventus Stadium on March 13 with the second leg a week later in Florence.
 
Llorente na Vidal,kila mmoja katika hawa leo atasugua kwenzi kwenye upara wa uncle festa na Seedorf wake.Hakuna cha Taarabt wala kidukubt!
 
Llorente na Vidal,kila mmoja katika hawa leo atasugua kwenzi kwenye upara wa uncle festa na Seedorf wake.Hakuna cha Taarabt wala kidukubt!

Vidal is suspended for this match Mkuu
 
Half time
Milan 0-1 Juventus (Llorente)

Kipindi cha kwanza kwa kweli kilikua cha Milan, wamecheza vizuri, wameinyamazisha midfield yetu mbovu lakini wanapata kigugumizi mbele ya goli

Kosa moja la Rami limetupa nafasi ya kufanya matokeo yasomeke hivyo. Marchisio anahaha kuziba pengo la Vidal, ni kama hayupo uwanjani, Asamoah naye anacheza hovyoo, sijui aliwahishwa kucheza hii match maana alikua na jeraha dogo

Kipindi cha pili inabidi kurudi vingine kabisa or else hawa jamaa wanasababu zote za kurudi na hata kupata ushindi maana mpaka sasa wao ndio team nzuri uwanjani
juve2012, Belo, shifta, pachanya, Ziroseventytwo obwato
 
Last edited by a moderator:
Forward line ya Milan ni butu mnoo, wanakosa two golden chances kusawazisha na matokeo yake Poli anaishia kuumia, katoka kapokewa na Saponara, sijui wamtoa wapi huyu? Twatwatwa au matombo?
 
That's how to win a match, what a thunderous shot by Carlitos Tevez

Milan 0-2 Juventus
 
Seedorf kachanganyikiwa, anamtoa Montolivo, mchezaji aliyewaficha Pogba na Marchisio na anamuingiza Honda.
Hako kajamaa kalikoingia badala ya Poli, hakajagusa mpira mpaka saa hizi, tumekaona baada ya kufanyiwa faulo na Pirlo
 
Ngoja nikalale tu mkuu.This Juve is "too tough" kwa serie a!mtu unatabiri hadi wafungaji na kweli unapatia bwana!angekuwepo "kiduku" hawa Milan wangeondoka na aibu uwanjani!
 
Ngoja nikalale tu mkuu.This Juve is "too tough" kwa serie a!mtu unatabiri hadi wafungaji na kweli unapatia bwana!angekuwepo "kiduku" hawa Milan wangeondoka na aibu uwanjani!

Balaa, yaani tumecheza vibaya lakini vile vifimbo tumewatembezea kama kawa
 
Balaa, yaani tumecheza vibaya lakini vile vifimbo tumewatembezea kama kawa

kwa kweli jamaa wametuficha midfield vibaya mkuu.Montolivo kafunika pale kati,De Jong kakamata Pogba vibaya,usajili umetubeba leo!I'm worried na hawa viungo wetu wasio na mbio.Pogba,Pirlo,Vidal wote hamna riadha hapo labda Marchisio kidogo,kwa hiyo inabidi Tevez afanye kazi sana.Sijui tulimuuzia nini Giacherini alikuwa na spidi.Pia kuumia kwa Pepe kunatuathiri sana,angeweza kubadili namba acheze mbavuni.Kwa kweli tunawahitaji sana Cerci na Quadrado.
 
Salute wakuu. Uzi umepooza. Kunani? Kesho kuna mtanange dhidi ya Fiorentina. Game ya kwanza mlikubali 4-2 pale florence... Leo jamaa zetu milan kama kawa kama dawa wamepata cha ulimboka 1-0 dhidi ya udinese. Mechi kali za kesho kati ya:

Roma vs Napoli
juventus vs Fiorentina
 

Mkuu hiyo game ya Roma Vs Napoli itakuwa tamu sana...
Hawa Juve kama Bayern tu hawana upinzani tena wa kueleweka kwenye ligi...watu wanachoka hadi kutoa updates
 

Juventus ni sawa na sniper, tumejizika ardhini tunawasikilizia wajingawajinga mjichanganye tuwamwage nnya
 
Kwani Nonda shabani yuko wapi? pia kalimanginga remi ongala yko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…