juve2012
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 3,343
- 2,040
Kina nani Mkuu?
si hao mnaowataja akina el khadoury,Cerci,Pogba,Guarin,Cuadrado,etc
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kina nani Mkuu?
si hao mnaowataja akina el khadoury,Cerci,Pogba,Guarin,Cuadrado,etc
Nimekupata, ni muhimu tukafanya soko la ndani, wasiachwe wakaibwa na vilabu vyenye pesa za mafuta
Italia kuna madogo wengi wakali sana.Tuna kazi ya kuwabakiza serie a misimu miwili ijayo.
Llorente na Vidal,kila mmoja katika hawa leo atasugua kwenzi kwenye upara wa uncle festa na Seedorf wake.Hakuna cha Taarabt wala kidukubt!
Ngoja nikalale tu mkuu.This Juve is "too tough" kwa serie a!mtu unatabiri hadi wafungaji na kweli unapatia bwana!angekuwepo "kiduku" hawa Milan wangeondoka na aibu uwanjani!
Balaa, yaani tumecheza vibaya lakini vile vifimbo tumewatembezea kama kawa
Salute wakuu. Uzi umepooza. Kunani? Kesho kuna mtanange dhidi ya Fiorentina. Game ya kwanza mlikubali 4-2 pale florence... Leo jamaa zetu milan kama kawa kama dawa wamepata cha ulimboka 1-0 dhidi ya udinese. Mechi kali za kesho kati ya:
Roma vs Napoli
juventus vs Fiorentina