Juventus Special Thread

Najua kwa sasa hatupo kwenye kiwango chetu, pamoja na hayo Lazio hawawezi kutuondoa. Trust me. Game ya kwanza tulitoa sare ya 1-1 Kule kwao Roma. Leo tupo home awike, asiwike kutakucha. Fainal ni cc na nyie. Over!

Haya njoo ufute hizi shudu, cha nguruwe cha Lulic kimezalisha mapacha 12, teh teh teh........si nilikwambia lakini? Eti 'trust me'!! Nani mjinga wa kuwatrust bandits wa Naples?
Na huyo boya Benitez atafute kibarua kingine, mwaka huu mtatupa shikamoo zetu tu hata kama ni kwa mbindeee
 
Katika game 5 za mwisho tumepata matokeo haya
Loose - 2
Draw -2
Win -1
Wao katika game 5 za mwisho wamepata hivi
Win - 4
Draw - 1
Head to head ndio tumewapa displine ya kutosha. Kachezea game 4 kapata sare 1. Atafungiwa mazoea.

Lia dogo upunguze machungu
Marek Hamsik alikua mmoja kati ya viungo bora kabisa barani Europa, sasa Benitez kamfanya afanane na Simon Msuva
Hacheki na kima
cha nguruwe


 
Haya bhana. Matokeo haya ya jana na Yale ya kwenye ligi kwa siku za karibuni yanaonyesha Banitez timu imemshinda na kama VP aondoke zake. Sitashangaa kama tutashindwa kupata hata nafasi ya kucheza UCL. Napoli wajiandae kupoteza wachezaji wao tegemeo kama hawatacheza UCL msimu ujao. Jose Callejon, Gonzalo Higuein wanaweza kutimka na kwenda kutafuta timu zinazoshindana na si zinazoshiriki.
 


kwi kwi kwi kwi haya maneno ulitakiwa uambiwe na sie...
wewe unatakiwa uendelee kuchamba. kuleta details za head to head sijui ushuzi gani nk nk nk nk
 
kwi kwi kwi kwi haya maneno ulitakiwa uambiwe na sie...
wewe unatakiwa uendelee kuchamba. kuleta details za head to head sijui ushuzi gani nk nk nk nk

Teh teh teh.........mwache dogo ajikande bila bughudha, siku hizi kapata katimu huko England ila na kenyewe kanateatea zaidi ya Napoli
 
Sina la kuongeza

Monaco mshapata chimbo la kuyaficha masaburi yenu?

Anayebisha atakua na fistula
 
The Bianconeri have six players walking the suspension tightrope on Saturday evening against Parma.
Leonardo Bonucci, Paolo De Ceglie, Stephan Lichtsteiner, Angelo Ogbonna, Roberto Pereyra and Arturo Vidal would miss next weekend’s encounter with Lazio should they pick up a booking.
Parma will be without Alessandro Lucarelli, who was handed a three-game suspension following a red card in their 2-0 defeat to Torino on Sunday 22 March.
 
Mourinho siku za karibuni umekuwa na maneno ya shombo kuliko kaka mkuu Gang Chomba.... Hiyo mipicha ya pirlo inaeleza kila kitu. Kama hiyo 1 yenye shoka dah!...shoka LA msitu!
 
Last edited by a moderator:
Mourinho siku za karibuni umekuwa na maneno ya shombo kuliko kaka mkuu Gang Chomba.... Hiyo mipicha ya pirlo inaeleza kila kitu. Kama hiyo 1 yenye shoka dah!...shoka LA msitu!

Nitake radhi, hata kwenye fasihi tulijifunza, wakati mwingine fanani hana budi kuichokoza jamii pale inapokua imedoro
Jukwaa limedoro, najaribu tu kuliamsha buluda mwenzangu, we huoni hata nguli juve2012 anamaliza mwezi bila kukatiza maskani!
BTW nasikia De Laurentilis anataka kuwapeleka vijana wakachezeshwe kwata kwa sababu ya kubweteka, me nashauri angeanza na Benitez, amkimbize na kile kitambi cha michemsho mpaka kipasuke
 
Last edited by a moderator:

Ni kweli amesema vijana inabidi wapige kwata la ukweli ukizingatia kuna game ngumu ya uropa league dhidi ya Wolfsburg ya ujerumani. Nimeiona hii habari Kule bbc sports...nisamehee mkuu
 
Last edited by a moderator:
Allegri: “Parma our only focus”

The boss looks ahead to Saturday night’s trip to the Tardini: “A win would take us closer to our target with eight games remaining. Monaco will enter our thoughts from Sunday onwards”

Massimiliano Allegri has urged Juventus to keep turning up the heat and remaining focused on the task at hand as the Serie A race edges into its final nine games.
A trip to basement club Parma is the latest on the Bianconeri’s busy agenda and, despite the Gialloblu’s difficulties suffered throughout the course of a testing campaign and the 57 points separating both sides in the league, the boss remains convinced Roberto Donadoni’s outfit will give his men a run for their money.-
Previewing the encounter in Vinovo, the 47-year-old began: “A win at the Tardini would bring us another piece of the Scudetto, taking us closer to our target with eight games remaining. So that’s all we’ll be considering for the time being. Monaco will only come into our thoughts on Sunday morning.
“A strong performance will be required this weekend though, because Parma approach the game on the back of some good displays and are in decent physical condition. Credit to Donadoni and all of his players for the dignity and professionalism they’ve displayed during a difficult season.”
Juventus go into the game riding on the crest of a wave following Tuesday’s sensational Coppa Italia triumph over Fiorentina, a historic achievement Allegri says nobody could have foreseen. -
“It was an important game, played with great technique and the desire to overturn the scoreline. Coming out on top after losing the home leg had never happened in the club’s history before, neither in Italy nor in Europe. The lads pulled off an achievement nobody ever believed could be accomplished.”
After withdrawing him from the first-team squad for the Coppa Italia semi-final return leg tie as a precautionary measure, Allegri confirmed that Carlos Tevez will return to the fold for this weekend’s trip to the Tardini.
Missing out, though, are Andrea Pirlo and Andrea Barzagli, with the former likely to win his race to be fit in time for Tuesday’s Champions League quarter-final first leg against Monaco.
Allegri added: “Carlos is in good shape and available. Pirlo’s still not quite there yet, but is likely to be involved on Tuesday, and Barzagli will also be out tomorrow, having been granted a period of rest.
“After being out for eight months and playing five intense games the odd ailment is inevitable. What’s important is being able to manage these situations without risking injury.”
 


Andrea Prilo available for Juventus against Monaco
Max Allegri has revealed Andrea Pirlo will be available for Juventus’ Champions League clash with Monaco.
“[Carlos] Tevez is fine, Tevez is available,” Allegri told journalists in his Press conference ahead of tomorrow’s Parma game. Pirlo will not be available for tomorrow, because he has work to do today, but he’ll be available for Tuesday, so that’s an important return that we have for Tuesday. [Stephan] Lichtsteiner will be assessed today as he has a knock to the thigh. Barzagli will not be available, he has to rest because he had a calf strain.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…