Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
forza Trezeguet...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua kwa sasa hatupo kwenye kiwango chetu, pamoja na hayo Lazio hawawezi kutuondoa. Trust me. Game ya kwanza tulitoa sare ya 1-1 Kule kwao Roma. Leo tupo home awike, asiwike kutakucha. Fainal ni cc na nyie. Over!
Katika game 5 za mwisho tumepata matokeo haya
Loose - 2
Draw -2
Win -1
Wao katika game 5 za mwisho wamepata hivi
Win - 4
Draw - 1
Head to head ndio tumewapa displine ya kutosha. Kachezea game 4 kapata sare 1. Atafungiwa mazoea.
Lia dogo upunguze machungu
Marek Hamsik alikua mmoja kati ya viungo bora kabisa barani Europa, sasa Benitez kamfanya afanane na Simon Msuva
Hacheki na kima
cha nguruwe

Haya bhana. Matokeo haya ya jana na Yale ya kwenye ligi kwa siku za karibuni yanaonyesha Banitez timu imemshinda na kama VP aondoke zake. Sitashangaa kama tutashindwa kupata hata nafasi ya kucheza UCL. Napoli wajiandae kupoteza wachezaji wao tegemeo kama hawatacheza UCL msimu ujao. Jose Callejon, Gonzalo Higuein wanaweza kutimka na kwenda kutafuta timu zinazoshindana na si zinazoshiriki.
kwi kwi kwi kwi haya maneno ulitakiwa uambiwe na sie...
wewe unatakiwa uendelee kuchamba. kuleta details za head to head sijui ushuzi gani nk nk nk nk
-Kila la heri Monaco dhidi ya Juventus.
Mourinho siku za karibuni umekuwa na maneno ya shombo kuliko kaka mkuu Gang Chomba.... Hiyo mipicha ya pirlo inaeleza kila kitu. Kama hiyo 1 yenye shoka dah!...shoka LA msitu!
Nitake radhi, hata kwenye fasihi tulijifunza, wakati mwingine fanani hana budi kuichokoza jamii pale inapokua imedoro
Jukwaa limedoro, najaribu tu kuliamsha buluda mwenzangu, we huoni hata nguli juve2012 anamaliza mwezi bila kukatiza maskani!
BTW nasikia De Laurentilis anataka kuwapeleka vijana wakachezeshwe kwata kwa sababu ya kubweteka, me nashauri angeanza na Benitez, amkimbize na kile kitambi cha michemsho mpaka kipasuke

View attachment 241798 Sina la kuongeza
View attachment 241799 Monaco mshapata chimbo la kuyaficha masaburi yenu?
View attachment 241800 Anayebisha atakua na fistula