Juventus Special Thread

Juventus Special Thread

Mkuu, mie naangalia sana La Liga na BUndesliga... Barca na Buy-ern ndio timu ninazosapoti.. kwa Italia naipenda Napoli (ingawa siku hizi sio sana kwasababu ya Benitez)

EPL imeharibiwa na rushwa, unazi wa kijinga, media, english players etc.

Benitez tena? I thought you guys want him back?
Of coz jamaa kairudisha nyuma Napoli, ile Napoli ya Walter Mazzarri ilikua moto wa kuotea mbali ingawa the real Azzurri ilikua ya Dios Maradona
Kadri pesa inavyozidi kuongezeka huko EPL ndivyo soka linavyozidi kuporomoko, na kikubwa ni unafiki wa media za waingereza
 
huyo abaki hukohuko

we dont need him, bora hata Jamhuri Kiwhelu
 
•Premier League clubs have been outperformed by European rivals

•Bundesliga set to move above Premier League next season

•Serie A could also overtake England, if Italian successes continue

•Napoli, Juventus and Fiorentina are still in contention for European glory

•All English clubs have been eliminated already this season

•One more bad season would see England lose a Champions League spot

Haya wanazi wa EPL kaeni chonjo, Ntuzu everlenk MosDef Janjaweed Belo Manumbu Aleyn Salamander b5-click BAK RRONDO Ziroseventytwo TUPACified Malafyale gutierez na wadau wote wa soccer

The premier league has more exposure because of the language and better marketing, na hii aina maana kwamba wana timu nzuri. Kitu kilichokuwepo EPL fans only rate players and teams of their own league, hawajiulizi kwanini mtu kama Carzola alikuwa overlooked alivyokuwa Villareal au Malaga, lakini Uingereza ni ni mtu wa kuzingumziwa. Ukiongelea wachezaji kama Mata na Silva ni best players in premier league, lakini Spain walikuwa wanacheza Valencia timu ambayo for years inashika nafasi za tatu, nne au tano kwenye la liga table. Topmost clubs zote za EPL ngeiziweka kwenye la liga zingekuwa mid-table.
 
Ligi ya Uingereza iko overrated sana, na wanajifanya wanajua mno. Wao wanaamini kwa sababu wana ushindani, basi wao ni bora, bila kuzingatia wanashindana watu wenye uwezo sawa. Yaani mchezaji wa kawaida La Liga, anasumbua sana Premier, mchezaji katoka Segunda anapitiliza moja kwa moja hadí Premier, halafu bado wanajisifu ushindani. Smh
 
Last edited by a moderator:
The premier league has more exposure because of the language and better marketing, na hii aina maana kwamba wana timu nzuri. Kitu kilichokuwepo EPL fans only rate players and teams of their own league, hawajiulizi kwanini mtu kama Carzola alikuwa overlooked alivyokuwa Villareal au Malaga, lakini Uingereza ni ni mtu wa kuzingumziwa. Ukiongelea wachezaji kama Mata na Silva ni best players in premier league, lakini Spain walikuwa wanacheza Valencia timu ambayo for years inashika nafasi za tatu, nne au tano kwenye la liga table. Topmost clubs zote za EPL ngeiziweka kwenye la liga zingekuwa mid-table.
Usisahau kina Michu, Yaya, Sanchez, Oezil, Kun waliingia Premier wakatawala. Fabregas alichemka Liga, karudi Premier ni mfalme.
 
•Premier League clubs have been outperformed by European rivals

•Bundesliga set to move above Premier League next season

•Serie A could also overtake England, if Italian successes continue

•Napoli, Juventus and Fiorentina are still in contention for European glory

•All English clubs have been eliminated already this season

•One more bad season would see England lose a Champions League spot

Haya wanazi wa EPL kaeni chonjo, Ntuzu everlenk MosDef Janjaweed Belo Manumbu Aleyn Salamander b5-click BAK RRONDO Ziroseventytwo TUPACified Malafyale gutierez na wadau wote wa soccer

English league inamalizwa na ubaguzi,rushwa na masharti mengi yasiyo na lazima. Pia inajitahid kuwa na wachezaji wengi wazawa ambapo media zimejikuta zikitumika vibaya,Kama inahitaji England iwe na wachezaji wengi wazawa inabidi iwekeze zaidi kwenye academy zao zilizopo kuliko ya hivi sasa,na kuna mengi zaidi ya kujifunza kutoka katika nchi nyingine kama Amerika ya kusini wenzao wanafanyaje wanakuwa na wachezaji wazuri wengi ambao wanavuma world wide na bado kuna kikosi imara cha Taifa japokuwa kwao mpira ni talented pia.
 
Kuna jamaa aliwahi kusema, Uingereza wanafundisha mpira kwa watoto wao, America kusini wanawaongoza watoto wao kucheza mpira.
 
Hakukosea yupo sahihi kabisa......pia naona Hispania nayo inajitahidi katika uwekazaji kwa watoto na products zao siyo mbaya zinatesa kwenye ulimwengu wa soka, Ujerumani umimi na mipango thabiti inawasaidia kujiweka vizuri.
 
•Premier League clubs have been outperformed by European rivals

•Bundesliga set to move above Premier League next season

•Serie A could also overtake England, if Italian successes continue

•Napoli, Juventus and Fiorentina are still in contention for European glory

•All English clubs have been eliminated already this season

•One more bad season would see England lose a Champions League spot

Haya wanazi wa EPL kaeni chonjo, Ntuzu everlenk MosDef Janjaweed Belo Manumbu Aleyn Salamander b5-click BAK RRONDO Ziroseventytwo TUPACified Malafyale gutierez na wadau wote wa soccer

That's a fact!
 
Majogoo ya Melwood yataiokoa FA mwakani kwenye CL!Liverpool itafanya vyema na hatutapokonywa nafasi hiyo apewe France yenye team 2 robo fainali
 
Katika vipind tofauti tofauti, leagues za Germany, France na Italy zishawahi kudecline na kupoteza mvuto kabisa, zilishuka viwango wakat bado zikiwa maarufu sana ulimwenguni, Germany wamerud tayari, Italy ndo wanaanza kuja na France naona wanaanza kurudisha ule msisimko wa league yao taratibu! But kitu kilichofanya hizi leagues nlizozitaja kuporomoka ni KAMARI (waweza kusema betting) iliyokithiri, panapokuwa na Kamari iliyopitiliza katika Soccer, Vitu vitatu haviepukiki Match Fixing, Rushwa na Fitna, hiv ndo viliharibu mpira wa Italy, France na Germany, ingawa Italy ilikuwa ni wide open, but kote huko soccer liliharibiwa na hivi vitu, bahat mbaya hili jinamizi limeikumba league ya Argentina pia!

Naweza nkathubutu kusema kuwa katika English Premiere League kina Geoff Thompson na wenzake na hata Keth wiseman (sjajua kama spelling zipo sawa) waliitengeneza sana hii league, waliipa muelekeo mpya, sawa hatukatai kuwa Match fixing haziepukiki kwenye kila league au KAMARI lakin kipind hiki cha kina wiseman na Thompson vitu kama hivyo havikuisumbua league wala kuingilia mkondo wa league vilikuwa ni nadra sana Man! But tangu reign ya kina David Bernstein na wenzake ianze pale FA, kamari kwenye league kimekuwa ni kitu ni kikubwa sana, now Big heads/companies/organizations za Betting (iliyokithiri ambayo ni kama Kamari tu) zimevamia EPL, je Brenstein alifanya nini kuhakikisha hilo halichukui nafas kubwa?? Alishindwa, mzigo ukahamia kwa Greg Dyke huyu ChairMan wa sasa na wenzake kina Burden na hata Gill, wamechukua hatua zipi?? Coz hiz kamari ndo zinapanga matokeo sahiv, nataka nikuulize kitu, unafikiri wacheza kamar wakubwa na companies kubwa za Betting zilipoteza kiasi gan baada ya LFC kushindwa kuwin Title na Man utd kushindwa kumake it into the Top4??? Na sasa unafikiri makampuni makubwa yatapoteza kiasi gan kama Man city au LFC akishindwa kumake it into the Top4?, the same goes to Man utd?, hii kitu ndo iliharibu mpira wa Italy coz lazima Match Fixing ichukue nafasi hapo, haiepukiki!

Wataalam wanasema Kamari huwa inaharibu League, na kingine Ni mchezo wa kina Dyke kutaka kuifanya EPL isiwe league ya kutabirika, hii inaicost league, coz at some point lazma FA itapanga matokeo ili kutengeneza twists katika kunogesha league, ufanisi wa kazi wa Dyke haupo mbali sana na ule wa Malinzi hapa bongo, wanasema La Liga ni league standard kwasababu hakuna Kamari zilizokithiri, coz kule ni 2 horses race japokuwa ATM inajitutumua kwa sasa, kule Germany au Italy Betting Companies kubwa haziwezi kuwekeza kwa kias kikubwa kule, coz hakuna ile competition kama ya EPL, kipind kile Italy kulikuwa na Juve/milan/inter/lazio/fiorentina etc, watu wakaenda kuiharibu kule, isitoshe matajiri wa team hiz wanakuwa tempted sana na hizi kamari, na kupelekea Fitna zitawale katika soccer!

Imagine wapuuzi walipoteza kias gan LFC walipokosa Top4 kipind kile??? Msimu So'ton walikaribia kuichukua Top4, but wanatakiwa Wainvest a lot ili kufikia hilo lengo, coz kuna vikwazo vingi kwa team kama So'ton kufikia kuingia Top4..kudos kwa Kina Greg Dyke kuifanya league iwe na msisimko, but kuruhusu kamari itawale league, unakuwa unafanya Perfomance za uwanjani ziwe na uwiano tofauti ule wa EPL na Wa UCL

Nakumbuka LFC walipata scandal ya kufix matokeo na Derceben (nmesahau kabisa spelling) mwaka ule 2009, katika UCL, but ilizimwa faster sana, dalili za kupotea kwa English clubs kwenye UCL zilianza pale, but baadae Brenstein akaanza kuvurunda, mpaka anakuja kumwachia Dyke tayar hali ya hewa ilikuwa ishachafuka, now imebak kwa teams husika kuimplement strategies za kuiteka UCL tena na siyo kuitegemea FA, na pia sioni EPL ikiendelea kufurukuta kwa Barca/madrid/ATM/Juve/Bayern/PSG etc katika UCL kwa miaka miwili/mitatu, zaid ya fedheha tu!
 
Last edited by a moderator:
Majogoo ya Melwood yataiokoa FA mwakani kwenye CL!Liverpool itafanya vyema na hatutapokonywa nafasi hiyo apewe France yenye team 2 robo fainali

Kwanza majogoo yanabidi yaqualify ndani ya top 4 ndiyo yajigeuze messiah wa EPL
 
MosDef I wish ningekua na uwezo wa kukupa likes 10, uchambuzi wako umeshiba haswaa, kudos Mkuu
Nitaongezea baadae kidogo hapo ulipoachia Mkuu
 
Last edited by a moderator:
•Premier League clubs have been outperformed by European rivals

•Bundesliga set to move above Premier League next season

•Serie A could also overtake England, if Italian successes continue

•Napoli, Juventus and Fiorentina are still in contention for European glory

•All English clubs have been eliminated already this season

•One more bad season would see England lose a Champions League spot

Haya wanazi wa EPL kaeni chonjo, Ntuzu everlenk MosDef Janjaweed Belo Manumbu Aleyn Salamander b5-click BAK RRONDO Ziroseventytwo TUPACified Malafyale gutierez na wadau wote wa soccer

Mie nipo La liga,uefa ndogo nawakilishwa na bingwa mtetezi Sevilla,UEFA ninao wanafainali wawili waliopita Real na Atletico Madrid plus Barca
 
Kwani mwaka huu ulifanya maajabu gani?

Mwaka huu ilikuwa ni ugeni,kumbuka sikucheza CL kwa miaka 5!!Mwakani sasa nimeisha pata uzoefu

Dada kumbuka nacheza Wembley kesho,ww sidhani kama utakuja kucheza tena Wembley hivi karibuni labda 2020 huko
 
Back
Top Bottom