Juventus Special Thread



Mkuu hiyo Arsenal ni kweli imetoka moyoni au umeiandika kwa kutereza tu?
 

nadhani kama tungekuwa hatujapangwa na chelsea kundi moja ungeiweka chelsea ktk list yako ya timu ambazo juve haiwezi kuzifunga,na ni bingwa mtetezi aliyechukua kombe mikononi mwa barca hao hao,lakini tulipiga tatu bila majibu,teh teh teh,nasema hivi,juve itolewe sasa,mkituachia kuingia nusu fainali au fainali,muziki wetu hamna atakayeuweza!
 
chomba unazunguuka,jibu swali bhana,wewe ungekuwa refa siku ile,ile ingekuwa penati or not?be honest jamani,kha!
 
leo tuna derby ndogo lakini mh!derby ni derby hawa Torino wabishi kweli.hivi hizi derby mbona zimejipanga hivi,duh?!halafu tukitoka hapo tunaenda kukimbizana na zile Bugatti za shaktar?point moja lakini kuipata ni shughuli nzito sana.naijutia sana ile mechi ya nordsjaelland tuliyotoa droo kwao!ila tukipita....ulaya ikae chinjo!ila nahisi kaubaridi tena,mh!
 
Shaktar wanatulia tu J5. Sisi ndio wazee wa mipango. Leo Torino nae anafungwa tu Ingawa watakaza sana. Hao milan hawana uwezo wa kutukuta points tulizonazo hata kidogo. Kutufunga kwao ni kuifanya ligi isionekane nyepesi sana. Wewe fikiria tungewafunga hao wazee wa milan nadhani tungetangaza ubingwa mwezi wa 12. WELCOME MZEE WA MIPANGO CONTE, NADHANI WIKI IJAYO MJINI TORINO WATU WATAFURAHI SANA. Inter hadi January inaisha mechi nyepesi moja tu na PESCARA. Labda Napoli kidogo anaweza akawa chini yetu.
 


Unafaa kuwa Daktari.
Ujue unawapa akina Viper, Juve2012 na wengine matumaini kama uliowapa pale Sansiro wiki iliopita ambapo mwisho wa yooote ukapiga sarakasi huku umevaa taulo.

mkuu shakhtar ashavuka ila hataki kuwa wa pili.
So ni lazima akaze na akufunge.

dawa chungu ndio inayoponya so tusiiteme...ukweli ni kuwa Chelsea na Juve kwa hali walizonazo na mechi zao za mwisho ni wazi kuwa Juve mko katika wakati mgumu sana.
Huu ndio ukweli.

Period
 

mkuu mi nawaogopa b.dortmund wapo kwenye form ya hali ya juu
 
Juventus chama kubwa Italy leo lazima ampige mpinzani torino kama unaipenda Juventus wake Like.
 
Juventus chama kubwa Italy leo lazima ampige mpinzani torino kama unaipenda Juventus wake Like.


Pazi kuna wafia Juve wenzio wiki ilopita walisema kauli kama hizo zako...kiko wapi?
 
Juve-Toro 3-0

La Juventus vince il derby con i gol di chi è bianconero da sempre!

"Juventus win the derby courtesy of strikes from two boyhood Bianconeri!"










 
Juventus chama kubwa Italy leo lazima ampige mpinzani torino kama unaipenda Juventus wake Like.

ameshachukwa goli tatu torino, hehehehe! chezea JUVE:becky:
 
Marchisiooooo!giovincoooo!huu muziki dortmund wenyewe wataugwaya kama torino tu!ukikaba goetze basi.usiogope viper.kuwa jasiri!
 
Marchisiooooo!giovincoooo!huu muziki dortmund wenyewe wataugwaya kama torino tu!ukikaba goetze basi.usiogope viper.kuwa jasiri!


Huo mziki uliwekewa sungusungu wanne...
Nocerino, Montolivo, Boateng na nguli De Jong
 
Chomba Kaka yangu umemsahau na SUNGUSUNGU MTAKATIFU NICOLA RIZOLI, nadhani huyo ndio kiungo pekee wa AC MILAN aliyeisumbua midfield ya Pirlo. Marchisio,Vidal,Isla na Asamoah kwenye mechi ile. Forza JUVE. Marchisio ananipa raha yule mtoto.
 
Chomba Kaka yangu umemsahau na SUNGUSUNGU MTAKATIFU NICOLA RIZOLI, nadhani huyo ndio kiungo pekee wa AC MILAN aliyeisumbua midfield ya Pirlo. Marchisio,Vidal,Isla na Asamoah kwenye mechi ile. Forza JUVE. Marchisio ananipa raha yule mtoto.

sema wewe bologna.wengine tukisema tunaonekana wafia juve!juzi chomba kapewa goli la offside na catania.tupewe sisi hapo,mbingu zitashushwa kwa kelele!
 
Kama kawaida, naona majembe ndio yanajikoki kuhakikisha wanafuzu kwenda Next round na kumuondoa Bingwa mtetezi mapema. WEEE NIPE RAHA JUVENTUS.
 
Mjerumani kalala... Hehe doubters wapo wapi..??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…