Katika vipind tofauti tofauti, leagues za Germany, France na Italy zishawahi kudecline na kupoteza mvuto kabisa, zilishuka viwango wakat bado zikiwa maarufu sana ulimwenguni, Germany wamerud tayari, Italy ndo wanaanza kuja na France naona wanaanza kurudisha ule msisimko wa league yao taratibu! But kitu kilichofanya hizi leagues nlizozitaja kuporomoka ni KAMARI (waweza kusema betting) iliyokithiri, panapokuwa na Kamari iliyopitiliza katika Soccer, Vitu vitatu haviepukiki Match Fixing, Rushwa na Fitna, hiv ndo viliharibu mpira wa Italy, France na Germany, ingawa Italy ilikuwa ni wide open, but kote huko soccer liliharibiwa na hivi vitu, bahat mbaya hili jinamizi limeikumba league ya Argentina pia!
Naweza nkathubutu kusema kuwa katika English Premiere League kina Geoff Thompson na wenzake na hata Keth wiseman (sjajua kama spelling zipo sawa) waliitengeneza sana hii league, waliipa muelekeo mpya, sawa hatukatai kuwa Match fixing haziepukiki kwenye kila league au KAMARI lakin kipind hiki cha kina wiseman na Thompson vitu kama hivyo havikuisumbua league wala kuingilia mkondo wa league vilikuwa ni nadra sana Man! But tangu reign ya kina David Bernstein na wenzake ianze pale FA, kamari kwenye league kimekuwa ni kitu ni kikubwa sana, now Big heads/companies/organizations za Betting (iliyokithiri ambayo ni kama Kamari tu) zimevamia EPL, je Brenstein alifanya nini kuhakikisha hilo halichukui nafas kubwa?? Alishindwa, mzigo ukahamia kwa Greg Dyke huyu ChairMan wa sasa na wenzake kina Burden na hata Gill, wamechukua hatua zipi?? Coz hiz kamari ndo zinapanga matokeo sahiv, nataka nikuulize kitu, unafikiri wacheza kamar wakubwa na companies kubwa za Betting zilipoteza kiasi gan baada ya LFC kushindwa kuwin Title na Man utd kushindwa kumake it into the Top4??? Na sasa unafikiri makampuni makubwa yatapoteza kiasi gan kama Man city au LFC akishindwa kumake it into the Top4?, the same goes to Man utd?, hii kitu ndo iliharibu mpira wa Italy coz lazima Match Fixing ichukue nafasi hapo, haiepukiki!
Wataalam wanasema Kamari huwa inaharibu League, na kingine Ni mchezo wa kina Dyke kutaka kuifanya EPL isiwe league ya kutabirika, hii inaicost league, coz at some point lazma FA itapanga matokeo ili kutengeneza twists katika kunogesha league, ufanisi wa kazi wa Dyke haupo mbali sana na ule wa Malinzi hapa bongo, wanasema La Liga ni league standard kwasababu hakuna Kamari zilizokithiri, coz kule ni 2 horses race japokuwa ATM inajitutumua kwa sasa, kule Germany au Italy Betting Companies kubwa haziwezi kuwekeza kwa kias kikubwa kule, coz hakuna ile competition kama ya EPL, kipind kile Italy kulikuwa na Juve/milan/inter/lazio/fiorentina etc, watu wakaenda kuiharibu kule, isitoshe matajiri wa team hiz wanakuwa tempted sana na hizi kamari, na kupelekea Fitna zitawale katika soccer!
Imagine wapuuzi walipoteza kias gan LFC walipokosa Top4 kipind kile??? Msimu So'ton walikaribia kuichukua Top4, but wanatakiwa Wainvest a lot ili kufikia hilo lengo, coz kuna vikwazo vingi kwa team kama So'ton kufikia kuingia Top4..kudos kwa Kina Greg Dyke kuifanya league iwe na msisimko, but kuruhusu kamari itawale league, unakuwa unafanya Perfomance za uwanjani ziwe na uwiano tofauti ule wa EPL na Wa UCL
Nakumbuka LFC walipata scandal ya kufix matokeo na Derceben (nmesahau kabisa spelling) mwaka ule 2009, katika UCL, but ilizimwa faster sana, dalili za kupotea kwa English clubs kwenye UCL zilianza pale, but baadae Brenstein akaanza kuvurunda, mpaka anakuja kumwachia Dyke tayar hali ya hewa ilikuwa ishachafuka, now imebak kwa teams husika kuimplement strategies za kuiteka UCL tena na siyo kuitegemea FA, na pia sioni EPL ikiendelea kufurukuta kwa Barca/madrid/ATM/Juve/Bayern/PSG etc katika UCL kwa miaka miwili/mitatu, zaid ya fedheha tu!